CHADEMA Shinyanga wamkalia kooni Mbunge wa Solwa SALAMU HAMED | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Shinyanga wamkalia kooni Mbunge wa Solwa SALAMU HAMED

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jiwejeusi, Oct 16, 2011.

 1. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nuru haiwezi kuchanganyika na giza. Palipo na nuru giza hutoweka. Nguvu ya chadema sasa imetawala hadi jimboni SOLWA, ambapo kulionekana kama kambi ya ccm. Jana makamanda wa chadema shinyanga walifanya ziara ktk jimbo hilo na kufanikiwa kumnasa mwenyekiti wa kijiji cha Shilabela ambaye alirudisha kadi hadi mihuri ya serikali. Pipos power.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Bakwata watatoa tamko kwamba chadema wanaandama jimbo la mbunge muislam.
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mapambano yaendelee mpaka kieleweke...hakuna kulala!!
   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Bakwata ni Kitengo kipya CCM cha Propaganda, copy that!
   
 5. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  That nice i like that, i wish they will continue to other areas which their development are hindered by ccm leaders who do nothing for five years or more but believing they are able to corrupt voters during campaign.
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Bakwata mbona ina taabu. Kila kukicha kwa visa visa yamelikuta baraza hili la Waislam.
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mtoa mada ni bora hao jamaa wanaohamia CDM wakajua kuwa mwanaCDM siyo kwamba ndiyo kama umeingia peponi vile, wakumbushe mtu akikata shauri na kumpokea Kristo na kumfanya awe Bwana na Mwokozi wake basi siyo kama ameshinda bali ametangaza vita dhidi ya muovu Ibilisi. Hivyo hivyo basi ukihamia upinzani ujue ndiyo umetangaza vita na siyo lelemama.
   
 8. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wasukuma sasa wanaamka, maana magamba walizoea siasa uchwara zao za kusema CDM chama cha kanda ya kaskazini. Watatia akili ifikapo 2015.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  we masaburi dhambi ya udini itakutafuna hadi siku unaenda kaburini wewe!yani unaonyesha mapungufu yako apa waziwazi!huna hata subira na uwezo wa kuweka vitu kifuani.wewe ni kenge mkubwa!mdini mbwa wewe...badilika kifaranga wewe.
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ulitaka kufanana na wake makuli wa bandarini kidogo,
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Hao ndio magwanda, halafu huu sio udini. Wala sikushangai kabisa tuliyaona siku nyingi sana haya.
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  imekuumaeee! Vipi yule mkuu wa wilaya ya Igunga aliyeolewa na mkatoliki mfuga nguruwe hajambo?
   
 13. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yaani mpaka sasa BAKWATA hawajatoa tamko tu?
   
 14. S

  Straight JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  punguza jazba kaka kwan BAR-KWATA bado hawajatoa tamko tuu... Ngoja 2subir habari ya za saa moja 2one...
   
 15. S

  Straight JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwel kaka hata mimi niliyaona mda mrefu, alianzisha mwenyekiti wa mpito wa chama... Juz kati nkasikia BAR-KWATA tawi la chama maeneo ya Igunga wakaja na utetez wa mfuga ngurue...
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Na Mbunge mpya hajambo pia. Mbona humuulizi?
   
 17. M

  Molemo JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  dini inasemaje kuhusu muislam kuolewa na mkatoliki mfuga nguruwe?
   
 18. g

  gkalunde Senior Member

  #18
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hii Kahama ina nini?wabunge wa shinyanga wajitahidi kufanya mikutano ili kuliteka na jimbo hili la mheshimiwa Lembeli ingawaje ni kubwa sana lakini kwa vuguvugu hili Kahama isipitwe kabisa nikuweka kambi kabisa.
   
 19. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,945
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  Mkuu Lembeli akiwa Kahama anawachana vilivyo Magamba. Ndiyo silaha anayotumia. Yaani speech zake Nepi akizipata atamvua uanachama
   
 20. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Faiza Bakwata wanalia lia kila kona aliko chadema sasa leo mtu kusema anaho kitegemea kuna udini ? Hebu toka nje ya box kajibu hoja za kwa nini JK hatembelewi hadi akalipie ndiyo watu kama Bush waje hapa .
   
Loading...