Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Ni ishu ya katiba na rasilimali.
Kuna Dr. Mvungi, mtu wa magamba, mtu wa Kafu, mtu wa TLP.
Hakuna Chadema.
Sijajua kama CDM walialikwa wakasusa.
Live kutoka ITV.
Kuna Dr. Mvungi, mtu wa magamba, mtu wa Kafu, mtu wa TLP.
Hakuna Chadema.
Sijajua kama CDM walialikwa wakasusa.
Live kutoka ITV.