Siasa uchwara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa uchwara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BONGE BONGE, Oct 21, 2011.

 1. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  .......wakati Kamati Kuu ilipomwomba Rostamu kusaidia kampeni za Igunga ili CCM ishinde, NAPE alipigwa marufuku asikanyage Igunga, asijihusishe kwenye shughuli za kumnadi mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM, ikawa vile. Je katika zama hizi za uchwara wa siasa nachelea kusema kwamba ndani ya CCM Nape ni GAMBA. TUJADILI
   
 2. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ndio!ni gamba.
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mambo ya CCM ni kizungumkuti kaka wewe waachie wenyewe huko waumane
   
Loading...