Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Secondary school students in Tanzania are in danger of being exploited by child traffickers. Picture: File By ROSEMARY MIRONDO, Special Correspondent Posted Sunday, October 23 2011 at 12:24...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mh mbunge wa arusha mjini kamanda Lema, mbunge wa singida mashariki Tundu Lisu na aliyekuwa mgombea wa arumeru mashariki Leo wamehutubia mamia ya wanarusha maeneo ya kimandolu na wakafungua matawi...
3 Reactions
74 Replies
7K Views
Saturday, 22 October 2011 09:31 Patricia Kimelemeta SERIKALI imezitaka hospitali na taasisi binafsi zinazotoa huduma ya afya nchini kutoa bure kwa wazee, walemavu, watoto chini ya miaka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Imeandikwa na Fadhili Abdallah, Kigoma; Tarehe: 21st October 2011 Habari Leo KAMPUNI ya City Energy and Infrustructure ya Dubai, Falme za nchi za Kiarabu inatarajia kuwekeza mtaji wa kiasi cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kauli zinazotumiwa na Mhe. Nape pengine zinaonyesha upeo mdogo wa fikra alionao, na pia zinaanika nia aliyonayo ndani ya CCM na ni dhairi yeye si mkaaji ndani ya chama hicho na sijui ni kigezo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
WATANZANIA tunao mtaji ambao ni hazina Ndani ya nchi yetu katika mambo makuu matatu: 1. Lugha: Watanzania Tuna Hazina ya Lugha ya Kishwahili ambayo sio chimbuko la kabila mojawapo ndani ya Nchi...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Taarifa inayotolewa sasa hivi kutoka Dodoma zinasema kuwa kumetokea vurugu kubwa kati ya jeshh la polisi na CDA dhidi ya wananchi. Tafrani hiyo inatokana na bomoabomoa. Wananchi wanajiapiza kuwa...
0 Reactions
302 Replies
24K Views
Jamuhuri ya Tunisia ambayo ilikuwa miongoni mwa nchi za mwanzo za kiarabu kukumbwa na vuguvugu linaloendea kwa nchi hizo za kutaka demokrasia zaidi hatimae imeweza kufanya uchaguzi wake huru leo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kila siku najiuliza kama Nyerere angekuwa "madarakani" mpaka sasa hivi angetolewa kama Gaddafi, Mubarak, Shah, or Zine el Abidine Ben Ali??? Naomba munisaidie wana JF
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani Kadri siku zinavyozidi kwenda siku hizi kumeanza kuwa na tabia ya Watendaji wa Serikali kuwa na Matamko Muhimu ya Serikali na hata Ya Ikulu Katika Mazingira Tata yasiyo kidhi hadhi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Thu Oct 20, 2011 5:00pm GMT * Policy uncertainty, energy crisis diminish investments * Sector records slump in two consecutive quarters * Ban on exports of raw tanzanite fuels smuggling By...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jf Baada ya kutoka Magu Ridhwani kikwete aliamua kuhama hoteli ya Golden Crest na Kuhamia Hoteli ya Malaika uamuzi huu umesababisha wanahabari waliokua wamefikia na kulipia Vyumba katika...
5 Reactions
125 Replies
11K Views
Kauli mbiu ya CHADEMA ni nguvu ya umma, kauli mbiu ya waasi wa Libya nayo ni nguvu ya umma, what a coincidence!!! Waasi walianzia kule benghazi kama utani flani hadi leo wamemwua mzalendo wa...
0 Reactions
129 Replies
10K Views
Hakuna pesa za elimu ya bure na afya ya bure…(ni kweli kwa sasa na kwa mtindo huu hizi pesa hazitapatikana, tutaendelea kuwa omba omba mpaka miaka 1000 baada ya uhuru..!!) Kwa kauli ya Waziri...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Ukizungumza na watu wa CCM, CUF, NCCF et al, wanasema CDM itabomoka maana Mbowe atalazimisha kugombea urais na chama kitagawanyika. Mimi simfahamu sana Mbowe lakini sioni kama atafanya hivyo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Zile PESA za wananchi wa Libya ambazo Marehemu alikuwa anazigawa hovyo hovyo sasa mapipoooooozzz wanasema Yeyote aliyetafuna asithubutu kutia mguu Misratah au Benghazi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wananchi wa Tunisia wanapiga kura leo kuchagua bunge litalotayarisha katiba mpya na kumteua rais wa muda. Tunisia ilikuwa ya mwanzo kuanza ghasia za mabadiliko katika nchi za Kiarabu baada ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Saturday, 22 October 2011 22:25 Rais Jakaya Mrisho Kikwete MAKUNDI MAWILI YATUNISHIANA MISULI URAIS 2015 Na Waandishi Wetu MINYUKANO inayohusisha makundi mawili ndani ya Chama Cha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama tunavyoona nchi za magharibi zinavyotaka kurejesha makoloni yake ya zamani kwa njia ya kutuchonganisha na viongozi wetu nakufanya tuwachukie na kisha kuziondoa madarakani serikali zetu na wao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale wanoandika andika hapa kuhusu mheshimiwa waziri wa mambo ya nje bernard membe kua anafaa kua urais nafikiri wanatoka familia ya Jk kwani membe hana tofauti na JK kiuongozi. hii ina maana...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom