Tanzania Muda mrefu itakuwa Zimbabwe ya Pili

Tanzania Muda mrefu itakuwa Zimbabwe ya Pili

Mwakifulefule

Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
6
Reaction score
1
Kwa huu mfumo wa Serikali yetu kuwapa Wageni kumiliki ardhi nadhani tunaitafuta Zimbabwe mpya kwani kuna siku wananchi sanasana wanafunzi wanaomaliza vyuo na kukosa kazi watakuja kuwatimu hao wageni...lakini pia najiuliza ina maana watz hatuwezi hata kulima mpaka tuwape wageni ..je tunaweza nini sasa?
 
kuporomka kwa shillinga nako mwishoni kutafikie ile pesa za zimbambwe ilivyoporoka kiasi cha kuanza kutumia dollar
 
Back
Top Bottom