Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Spika alikutangulia Amesema waziwazi pasi Kumung'unya Maneno kwamba "Wewe ni Tunda la Ufisadi ( Kwa Maana umewekwa na Mafisadi) + Tunda la Dhuluma ( Umepatikana baada ya YEYE kudhulumiwa nafasi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Haiingii akilini kuona watu waliosoma wakijaribu kughilibu wasiopata fursa ya kusoma na kutumia rasilimali za hao wasiosoma (wengi) kwa ajili ya kujitafutia umaarufu usio na maana. Wanasema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niko mjini Wete kwa shughuli za kikazi kwa siku tatu sasa. Nimepata nafasi ya kukutana na watu mbalimbali kwa nyakati tofauti tofauti kuzungumzia upepo wa kisiasa. Wakiwemo vijana, wazee, na...
7 Reactions
79 Replies
7K Views
Wana JF salaam. Najua wengi mtashangazwa na thread yangu, lakini kwa kusukumwa na utashi na hisia za mabadiliko ya kifikra, kisiasa na kiuchumi wa taifa letu, na ili kujibu hoja dhaifu za wafuasi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya kuisoma katiba yetu feki na chakavu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,nimegundua kwamba waziri mkuu mizengo pinda hana vigezo vya kuwa katika wadhifa huo kwa mujibu wa katiba yetu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni falsafa kinaifu na kanganyifu iloota mbawa mioyoni mwa watanzania walo wengi hasa mama zetu wapendwa ambao kwa mda mrefu wamekuwa mtaji mkubwa wa chama tawala kwenye chaguzi mbalimbali, AMUA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku za hivi karibuni Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilimtumia mtaalamu mmoja kutengeneza na kusambaza uvumi kwamba nchi itakumbwa na uhaba wa umeme kwa kukosekana huduma ya LUKU, GESI, MAJI...
0 Reactions
4 Replies
881 Views
Naomba msaada wa jibu toka kwa great thinkers, kuna Mwanakijiji katika kijiji xxxxx mwenye elimu ya uelewa wa kiwango cha elimu ya watu vijiji vyetu vilivyo vingi Nchini. Mwanakijiji huyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Asalam aleykum wanachama wa kisima hiki cha fikra, Nikiwa mdau na mzalendo wa taifa hili la Tanzania nimepatwa na mstuko mkubwa kutokana na maazimisho ya miaka hamsini ya uhuru wetu,naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf nipo nzega nikitoka Mwanza katika ziara ya Ndg ridhwani kikwete. Usiku huu nikiwa napata chakula nikasikia Risasi zinalia Mjini nikaamua kufatilia na kupata taarifa kuwa Kuna Mgodi...
1 Reactions
246 Replies
25K Views
Kwa ninavyo fahamu mimi Mbunge ni chachu kubwa ya maendeleo katika jimbo husika hivyo tunatarajia mabadiliko makubwa kutoka kwa mh Godbless Lema walao kupambana kero ndogo ndogo zikiwemo barabara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na taarifa ya kupigwa marufuku kwa maandamano ya kupinga malipo ya Dowans ni kweli Kova anajua kutakuwa na vitisho vya shambulio la ki gaidi la Al Shabaab maana anawajua na anawapa ulinzi...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Vijana wa ANC(African National Congress) chama kinachotawala Afrika kusini wamepinga safari ya raisi wao Jacob Zuma kwenda Australia kwenye mkutano wa jumuiya ya madola wakati nchi pamoja na chama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo kule Igunga serikali ilikuwa inagawa mahindi mpaka ikahusishwa na rushwa, sasa uchaguzi umekwisha je wanaendelea kugawa mahindi? Mwenye taarifa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni habari njema kusikia kuwa nchi wahisani zinazosadia Bajeti kuu ya serikali zimesema zitapitia misaada ya fedha wanazotoa ili kujua kama serikali imefikia malengo yaliyokusudia. Mwenyekiti wa...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Wadau nimetafakari maneno mazuri yanayopaswa kusemwa katika kipindi hiki ambacho tunasherekea miaka hamsini ya uhuru na yakaleta maana nimeona wanasiasa wote wanapoenda kusherekea na wanavyozidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kinachofanywa na Hazina iliyopo chini ya Wizara ya Fedha kinatisha! Kuanzia mwezi uliopita imejitokeza tabia ya kuwaondoa watu kwenye orodha ya Malipo (Payroll) kwa Makusudi au bahati mbaya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
PAC: Govt interfering with AG work By Felister Peter 27th October 2011 Cites negotiating teams, politicians as cause of questionable contracts Committee Chairman John...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, juzi alikumbana na msukosuko wa kuzomewa na wananchi wakati akihutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Nimejaribu kuangali kupitia umoja wa mataifa kama kuna nchi hii inayo jiandaa kuazimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara.Nimejiuliza maswali mengi mojawapo kwanini nchi inakataa kuwa member wa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom