Tunda la UFISADI LAWEZA KUWA SAFI? MAKINDA CHUKUA HATUA

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Spika alikutangulia Amesema waziwazi pasi Kumung'unya Maneno kwamba "Wewe ni Tunda la Ufisadi ( Kwa Maana umewekwa na Mafisadi) + Tunda la Dhuluma ( Umepatikana baada ya YEYE kudhulumiwa nafasi YAKE)+ Tunda la Fitina ( Umeingia baada ya Fitna za Mafisadi)". Na Ukimya wako Watu Wanafsiri kwamba "UMENYWEA"

Sasa Tunafahamu ya kwamba huwezi kupanda Bage ukatarajia Kuvuna Zabibu, wala Huwezi Kupanda Mirungi ukatarajia kuvuna Maharage. Tukiwa katika vita kali ya Kuwavurumisha Wezi wa Rasilimali zetu 'Wakiongozwa na CCM" Halafu katikati ya Mapambano tunaambiwa kwamba "KUNA MAMLUKI" aliyewekwa na hao tunaopambana nao hatuwezi kuvumilia kamwe

Nakuomba Mama kwa Heshima na Taadhima "JIVUE GAMBA"

Nawasilisha
 
spika alikutangulia amesema waziwazi pasi kumung'unya maneno kwamba "wewe ni tunda la ufisadi ( kwa maana umewekwa na mafisadi) + tunda la dhuluma ( umepatikana baada ya yeye kudhulumiwa nafasi yake)+ tunda la fitina ( umeingia baada ya fitna za mafisadi)". Na ukimya wako watu wanafsiri kwamba "umenywea"

sasa tunafahamu ya kwamba huwezi kupanda bage ukatarajia kuvuna zabibu, wala huwezi kupanda mirungi ukatarajia kuvuna maharage. Tukiwa katika vita kali ya kuwavurumisha wezi wa rasilimali zetu 'wakiongozwa na ccm" halafu katikati ya mapambano tunaambiwa kwamba "kuna mamluki" aliyewekwa na hao tunaopambana nao hatuwezi kuvumilia kamwe

nakuomba mama kwa heshima na taadhima "jivue gamba"

nawasilisha
utamaduni huo haupo ccm
 
siyo ccm niijuwayo!!! huyo mama atakaa kimya au atasema nitayapeleka kwenye kikao cha cc.
 
Back
Top Bottom