only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,525
Vijana wa ANC(African National Congress) chama kinachotawala Afrika kusini wamepinga safari ya raisi wao Jacob Zuma kwenda Australia kwenye mkutano wa jumuiya ya madola wakati nchi pamoja na chama chenyewe tawala vipo kwenye matatizo makubwa yanayotishia mustakabali na ustawi wa wananchi wa hii nchi.Na wametishia kuwa wanamsubiri kwa hamu mwakani yaani 2012 kwenye uchaguzi wa chama hiki na wameapa kuwa watamfundisha adabu...
Hii imenifanya kutafakari matatizo yafuatayo yanayoikumba nchi lakini JK haoni tatizo kabisa,hataki kukaa na wasaidizi wake kututatulia haya;
Source : BBC Swahili
Hii imenifanya kutafakari matatizo yafuatayo yanayoikumba nchi lakini JK haoni tatizo kabisa,hataki kukaa na wasaidizi wake kututatulia haya;
- Migogoro ndani ya chama chake...hasa UVCCM na baadhi ya wanachama..
- Kwasasa 1 US dollar=1800..
- Ajali kama za dulex juzi...katoa salamu za rambirambi halafu huyoooooo...kutalii..
- Inflation kwasasa ni 16% na tutegemee maafa zaidi....
Source : BBC Swahili