Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SPEECH BY HON. WILLIAM M. NGELEJA (MP), MINISTER FOR ENERGY AND MINERALS AT THE SIGNING CEREMONY OF TWO PRODUCTION SHARING AGREEMENTS FOR PETROLEUM EXPLORATION IN THE NYUNI AND RUKWA AREAS ON...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunafute undani wa vyama hivi, kila chama katika nchi kiliko maana hivi ni vyama rafiki sana na CDM tusije tukajikuta tunaangamia: 1. Conservative-Uk 2. The center Party-Sweeden 3. Kokomus-Finland...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naona tuko kama mtoto asiekuwa. Kila siku unamsindikiza shule hadi anamaliza primary, secondary, chuo, anaanza kazi hajajua tu kuvuka bara bara na anakunywa maziwa kwenye feeding bottle. Kwanini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imeandikwa na Anastazia Anyimike; Tarehe: 29th October 2011 VIJANA wa CCM nchini wameruhusiwa kujadili urais wa mwaka 2015 na si kujadili nani atakuwa rais kutokana na chama chao. Hayo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunaomba mtujuze hicho kikao cha wazee wamejadiri nini. Malechela alikuwepo Warioba alikuwepo Kingunge alikuwepo Msuya alikuwepo N.k Alikuwepo.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Anawatuhumu jeshi la polisi, usalama wa taifa, na waganga wa kienyeji Source: Gazeti la Mtanzania katika Mapitio ya magazeti Magic FM (Huwa sinunui magazeti ya RA) Kwenye huo mpango wapo watu wa...
0 Reactions
310 Replies
34K Views
Uchaguzi wa urais na wabunge uliofanyika 31 Oct, 2010 umeiacha nchi yetu katika wakati mgumu sana. Hii ni kutokana na madonda yaliyozaliwa na MATOKEO ya uchaguzi huo ambao ulilalamikiwa sana na...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Huwa najiuliza maswali mengi na ninakosa majibu,kwa nini viongozi wetu hukimbilia kutibiwa india??je huduma walizonazo hatuwezi kuziboresha tukatibiana kwetu??na kwa nini ni india pekee??je unafuu...
0 Reactions
82 Replies
8K Views
Kwa mujibu wa waziri lukuvi alipoongea ktk moja ya sherehe zina zokaribisha sherehe kuu ya kutimiza miaka 50 ya uhuru. Anasema wakati tukipata uhuru mtanzania alipata shilingi 770 kwa mwaka huyo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna jambo linasemwa humu ndani sijui kwa kutiwa chumvi au ni kwa kutokujua. Nchi hii (Tanganyika?) tangu ipate uhuru mwaka 1961 na kufuatiwa na mapinduzi ya Zanzibara mwaka 1964 hatimaye Muungano...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna mwanasiasa mmoja(EL) husisitiza kuwa njia mbadala ya kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana hapa nchini ni kutumia rasili mali zilizopo kukopa fedha toka nje na kujenga viwanda hatimae...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Imeandikwa na Oscar Job; Tarehe: 29th October 2011 MADIWANI wa Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, wameshindwa kufanya mikutano yao na waandishi wa habari kwa zaidi ya mara mbili kutokana na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kituo cha haki za binadam kupitia kiongozi wake mwanaharakati ndg fransis kiwango amekubali kusitisha maandamano ya kupinga malipo ya dowans kwa sababu moja tu miongoni mwa sababu kadhaa zilizo...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
JAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Aloyce Mujulizi, ameamuru Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, afikishwe mahakamani kwa madai kwamba anatoa matamshi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Hivi karibuni spika wa zamani mzee sitta alitoa tuhuma nzito na kumhusisha spika makinda na mafisadi.kitendo cha spika anne makinda kuamua kukaa kimya dhidi ya shutuma hizo kutoka kwa mtangulizi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee, lililokuwa likitaka hati ya madai katika kesi ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Tanzania tuna viongozi wa ajabu...!!! Kova kapiga marufuku maandamano ya kupinga Dowans kulipwa 111bns..... Eti kwa ajili ya tishio la Al Shabab... Source Radio Wapo FM..... Najisikia...
4 Reactions
236 Replies
19K Views
Rais wa Jamhuri yetu ni mwakilishi wetu na kioo chetu nje ya nchi. popote anapokuwa nje ya nchi maana yake kuna watanzania milioni 40 nyuma yake. Si vizuri hata kidogo kunyamaza kimya pale Rais...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari JF, CCM wilayani kwimba, mkoani Mwanza, wameua kwa kumkata mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake mtu aitwaye NDULLU MABEJA 50YRS, aliyekuwa ni kampeni manager wa mgombea wa udiwani CUF...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Baada ya harakati nyingi za siasa za muda mrefu kwa upande wa znz pamoja na mateso waliyopata viongozi wa Cuf na wanachama wake na wapenzi wake kutoka kwa serikali ya kidikteta ya CCM,sasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom