Uhalali wa mtoto wa mkulima kuwa PM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhalali wa mtoto wa mkulima kuwa PM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwamatandala, Oct 28, 2011.

 1. M

  Mwamatandala Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Baada ya kuisoma katiba yetu feki na chakavu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,nimegundua kwamba waziri mkuu mizengo pinda hana vigezo vya kuwa katika wadhifa huo kwa mujibu wa katiba yetu.

  Kwanza na kimsingi,katiba inasema kwamba waziri mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa kutoka ktk jimbo la uchaguzi kupitia chama cha siasa.

  Kwa upande wa pinda yeye hakuchaguliwa wala kupigiwa kura na wakazi wa mpanda mashariki.Hivyo basi kwa msingi na hoja tajwa hapo juu,mizengo peter kayanza pinda hastahili kuwa waziri mkuu.

  NAWASILISHA.
   
 2. A

  Abu-Musab Senior Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bado naperuzi humu
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Alipitishwa tu na chama c wananchi kwa kupigiwa kura?
   
 4. K

  Kilaza Flani Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ila huyu jamaa si mbunge wa jimbo huko katavi? sina hakika sana ni wa kuteuliwa
   
 5. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Mi nafikiri anakosa uhalali kwa kuwa ni kilaza na mwoga wa kufanya maamuzi. Anakimbizana na per diems kama JK na amewasahau maskini. Alianza kazi hajui kupiga pamba na saizi anagonga pamba za hatari. Kuhusu katiba nadhani waliwahi kulitolea ufafanuzi, na hata tukilijadili humu watu wa magamba hawatakubali na wao ndio wenye katiba, sio ya sisi wananchi so ni bora tulipotezee hadi nchi itakapokuwa na katiba.
   
 6. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakati wa uchaguzi ktk jimbo lake hakupata mpinzani hivyo alipita bila kupingwa,
  Hapo wanasheria watusaidie, kuchaguliwa ina maana ya wingi wa kura zilizopigwa au hata kama ulikosa mpinzani nako ni kuchaguliwa?
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kwa kutaka kuuza uwanja wa Nyamagana-Mwanza ili ijengwe hotel, nilimtoa maanani kabisa. Hata hivyo hafai maana kawa serikalini muda mrefu lakini hajawahi hata nunua sindano kwa ajili ya nchi. Hapa tulipiga hodo kwenye nyumba ambayo haina mtu na tunasubiri kukaribishwa?!
   
Loading...