Wananchi wataendelea kudanganywa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wataendelea kudanganywa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Oct 28, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Siku za hivi karibuni Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilimtumia mtaalamu mmoja kutengeneza na kusambaza uvumi kwamba nchi itakumbwa na uhaba wa umeme kwa kukosekana huduma ya LUKU, GESI, MAJI na Mafuta ya kuendeshea magari.

  Wakazi wengi wa Dar es Salaam na mikoa ya karibu walinunua umeme mwingi, gesi, kujaza matanki ya maji kwa matarajio kwamba hali hiyo ingetokea. Haikutokea.

  Hivi sasa mtaalamu huyo anatengeneza na kusambaza uvumi kwamba wanajeshi wanaandaa mpango wa kupindua nchi. Hvi mnaionaje hali hii wenzangu. Tunaelekea wapi Watanzania

  Natoa hoja.
   
 2. c

  chachu Senior Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sijaona hoja ya msingi hapo
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  Hayo ni ya kwako, na huyo mtaalamu ni wewe ukifadhiliwa na magamba.
   
 4. K

  Kilaza Flani Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  pumba tupu
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Utumbo
   
Loading...