Watanzania na falsafa ya ovyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania na falsafa ya ovyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kahigi derick, Oct 28, 2011.

 1. k

  kahigi derick New Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni falsafa kinaifu na kanganyifu iloota mbawa mioyoni mwa watanzania walo wengi hasa mama zetu wapendwa ambao kwa mda mrefu wamekuwa mtaji mkubwa wa chama tawala kwenye chaguzi mbalimbali, AMUA OVYO, CHAGUA CCM OVYO, CCM TENDA OVYO, ADHIRIKA OVYO, LALAMIKA OVYO.
   
Loading...