Igunga wanaendelea kugawa mahindi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Igunga wanaendelea kugawa mahindi?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by binti ashura, Oct 26, 2011.

 1. b

  binti ashura Senior Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo kule Igunga serikali ilikuwa inagawa mahindi mpaka ikahusishwa na rushwa, sasa uchaguzi umekwisha je wanaendelea kugawa mahindi? Mwenye taarifa tafadhali atujuze!.
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Wagawe kwani kampeni bado zinaendelea?...
   
 3. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waendelee kugawa mahindi?? SASA WANADAI MAHINDI YAO WALIYOGAWA. Hkn cha bure
   
 4. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Ndo' maana yake...
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,117
  Trophy Points: 280
  Thubutuuuu, waigaiwe na nani? kuna hata balozi? kwisha habari yao
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wagawe ili iweje tena?
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu kumbe wewe ni msahaulifu hivi?
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wanagawa ubwabwa
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,794
  Trophy Points: 280
  Sio mahindi tu, hata hizi pilau maharage wasubiri mpaka 2015: View attachment 40023
   
 10. M

  Makupa JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hivi nyie mnatumia akili gani kufikiri,kama wananchi walikuwa na shida ya chakula si lazima wapewe chakula
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,117
  Trophy Points: 280
  Labda sie ndio tukuulize wewe hilo swali na la ziada ni hili; je saSA HIVI hio shida imeisha au inaendelea? Kama imeisha ina maana walikua na njaa wakati wa kampeni tu?? halafu ndio utaona sisi na wewe mwenye akili ni nani
   
 12. M

  Makupa JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mvua zimekwishaanza kujesha hivyo basi mgao wa mahindi nao unakuwa umepungua sana hasa yale maeneo ambayo ni kame
   
 13. L

  Leliro Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fedha ya kampeni za Igunga ni heri wangegawia wananchi huenda wangefaidi, lakini mzigo huu wa magamba ulioingia bungeni utaongeza matatizo kuhusu kuficha taarifa za mikataba ya madini
   
 14. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hapo tusubiri 2015 ndo kutakuwa na mgao tena
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  mvua zikianza kunyesha njaa ndo inakuwa imeisha??
  mvua zikianza kunyesha, kitu cha kwanza kutokea huwa nyasi zinaota....kwa hiyo wale nyasi au??

  tumia akili, usitumie mustachi wa katibu wako mukama!
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  MGAO WA MAHINDI UMEISH ss ni MGAO WA UMEME
   
 17. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,117
  Trophy Points: 280
  hiyo kawadanganye watoto kuwa ntakuletea pipi, yaani mvua zikinyesha tu basi, njaa imeisha, au unatufanya wote vilaza?? kijana mie nimelima na ni mkulima na ninaelewa ninachozungumza, haya jibu swali langu lingine, je shida ya njaa walikua nayo wakati wa kampeni tu? mbona mahindi hayakupelekwa kabla au baada ya uchaguzi???
   
 18. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  si walishapata walichotaka
   
Loading...