Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wassira juzi alianza mchakato wa vikao vinavyowashirikisha viongozi na baadhi ya makada wa chama hicho wa wilaya na mkoa wa Arusha, kwa kuonya kuwa "ni uhaini kuzungumzia urais wakati huu ambao...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Unaweza kuyatambua mawazo ya ndani ya fikra za mtu kwa kusoma maandiko yake. Kwa wale wanaompinga Mkapa au kumuunga mkono wanatakiwa kusoma shairi hili wakati huo Mkapa akiwa ni mwanafunzi katika...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Fri Oct 28, 2011 12:38pm GMT DAR ES SALAAM Oct 28 (Reuters) - The Tanzanian shilling bounced off record lows against the dollar on Friday after the central bank pumped in dollars, traders said...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
leo katibu wa bunge ameutangazia umma kuwa Zitto kabwe yu mzima anaendelea vizuri na matibabu tucwe na wacwac. Hoja yangu ni kwamba ni kweli tanzania hatuwezi kumtibu mtu mwenye malaria kama ya...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Haya ndo maneno ya Jakaya Mrisho Kikwete Dec 2005 mpaka sasa hakuna cha maana mpaka uchumi umelegalega. Mtu anaweza kujiuliza je Jakaya Mrisho kikwete kajikwaa wapi? Uchumi UnaopaaMheshimiwa...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Leo dola imepanda hadi sh. 2007/=. Sukari Moshi imefika sh. 3500/= gharama za maisha zimepanda, kweli JK ameweza na anasonga mbele.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Closed
Namfikiria Mh. Kikwete , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mzaliwa wa Msoga , hivi angeshinda uchaguzi wa mwaka 1995 na kuwa Rais wa Tanzania katika hali ya uchumi legelege kama alivyoiacha...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Yapata cku 10 tangu Ndugu Lowassa aseme kuwa hatovumilia tena kuchafuliwa na wanahabari,wanasiasa.Kilichonisukuma kuleta hoja hii ni UTII wa walengwa wa kauli ya lowassa hasa NAPE na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KIGWANGALLA: serikali isipofanya kweli NAJIUZULU By TZA | October 27, 2011 | HARD NEWS | No comments...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau, Nipo mahakama kuu ya Arusha kufuatilia kesi ilifunguliwa dhidi ya ushindi wa Godbless Lema. Polisi walimwagwa mahakamani tangu alfajiri wakiwavua kwenye Maharishi 12 ya polisi...
0 Reactions
88 Replies
9K Views
Kikwete awaasa wawekezaji na Mwandishi Maalum, Australia RAIS Jakaya Kikwete amesema uwekezaji katika bara la Afrika ni lazima ulenge kunufaisha wananchi na sio wawekezaji wageni...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
kwa nayefahamu Arusha mjini na vitongoji vyake kuna kero ndogondogo mfano barabara za mitaani kama levolosi,kaloleni,mbauda, na sehemu nyingine.Na ninavyofahamu Mbunge wa eneo husika anao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwanini kila maandamano yanayopangwa nchi hii yanakuwa hayafanyiki kwa visingizio vya usalama? Nilini tutaandamana kwa uhuru bila kuingiliwa na jeshi la polisi lilokopale kwa maslahi ya viongozi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
From ICHIKAELI MARO, Perth, Australia, 26th October 2011 Daily News President Jakaya Kikwete ( left) confers with the Director of Commonwealth Business Forum Dr Mohan Kaul in Perth, Australia on...
2 Reactions
82 Replies
10K Views
Jamani hiki ni kizazi cha Tanzania ambacho hakuna cha kujivunia!!. Hiki ni kizazi cha watoto wa Nyerere na mababa zetu. Kizazi cha kwanza kuja baada ya Mkoloni wamesomeshwa bure wengi mpaka...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsa Vuai Nahodha Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsa Vuai Nahodha, amewanyooshea vidole maafisa wa Idara ya Uhamiaji ni vinara wa rushwa katika utoaji wa hati za...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi kudai haki ni uvunjifu wa amani?manake wanaodai haki siku zote wanatajwa kuwa wanahatarisha amani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi wana jamvi yule jamaa Kainerugaba Msemakweli yuko wapi? Baada ya kutoa UFISADI WA KAGODA kapotea moja kwa moja! nina wasiwasi na mambo matatu. Kununuliwa na Mafisadi wa Kagoda Kujiunga nao...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
tumeshuhudia yaliyotokea Libya baada ya kuuawa kwa mtawala Gaddafi. wapo wanaopinga kuuawa kwake na wapo wanaounga mkono pia, kila mtu ana sababu yake. kwa mtu aliyetawala kwa mkon wa chuma miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mda sasa luhanjo amekuwa akitajwa tajwa sana kuwa amekuwa akifuja rasimali za nchi yetu kupitia wizara ya maliasili na utalii,na amekuwa mkabila kwa kujaza watu wake kwenye nafasi nyeti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom