Miaka 50 ya uvumilivu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya uvumilivu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by actus, Oct 28, 2011.

 1. a

  actus Senior Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Wadau nimetafakari maneno mazuri yanayopaswa kusemwa katika kipindi hiki ambacho tunasherekea miaka hamsini ya uhuru na yakaleta maana nimeona wanasiasa wote wanapoenda kusherekea na wanavyozidi kusherekea waseme miaka 50 ya uvumilivu na sio uhuru.Kwanini uvumilivu??hapa nadhani tumevumilia mengi ktk kipindi cha miaka hamsini kwa machache tu katika mengi tuliyovumilia ni UFISADI,KATIBA MBOVU,MAISHA BORA KWA OOOH NO HAPANA SAMAHANI MAISHA MABOVU KWA WENGI WATANZANIA,UTAWALA ULIO JUU YA SHERIA,ELIMU MBOVU KWA WENGI WATZ,jamani nadhani yote haya tumevumilia.sasa basi kwanini sio uhuru!!!!?hapa nchi iliyo huru kwa maana halisi ya uhuru haiwezi kua na upuzi wote huu.


   
Loading...