Natokea kisongo saa hii kumuona Lema, nimemkuta akinyoa nywele na still ana furaha utadhani yupo uraiani. Miongoni mwa mambo aliyoyakuta ni idadi kubwa ya wafungwa waliopo ndani eti kwa sababu...
whom do you think will going to be the president of Tanzania the year 2015,
i think there is a need to give opportunity to opposition party to see if they are capable 0f taking us from where...
Reagan aliwahi kusema "Peace through strengh" hili muweze kuheshimiana na mpinzani wako awe adui au hata jirani mwema.
chadema sasa tumeshaona jinsi serikali dhalimu ya CCM inavyowadhalilisha...
Jana nimesikiliza taarifa ya habari channel ten na kuona wafanya biashara wa soko linaloitwa la sokom la kimataifa la samaki Feri eti halina maji na wakati huo huo jiji wanakusanya kodi kwenda...
We'll cut your aid if you persecute gays, Britain warns African nations
By Simon Walters
Last updated at 11:44 PM on 8th October 2011
Poor African countries which persecute...
Hapa naleta nini kinasemwa na wana Houston
Re: [Tanzania-HOUSTONCOMMUNITY] Sifa ya Jamii Yetu Itapotea.
" Sifa ya jamii yetu itapotea
Habari za Jioni wana community.
Kwa masikitiko makubwa...
HALI ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), inazidi kuwa tete baada ya wenyeviti wa mikoa wa chama hicho tawala, kupitisha azimio la kutaka Waziri wa Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
Katika mila na desturi za Watanzania; ni ajabu kwa wanasiasa maarufu kuugua; na hata wakiugua, basi siyo magonjwa sugu kama UKIMWI. Ndiyo maana wakiugua, basi tunawaza haraka kwamba, huenda...
Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi anategemea kusafiri kwenda nchini Marekani mwishoni mwa mwezi wa kumi. Akiwa nchini Marekani atakuwa na kazi ya kusuluhisha mgogoro wa Tawi la CCM Marekani...
Habari kutoka ndani ya polisi mkoani hapa zinasema wanamtafuta Nanyaro ambaye pia ni diwani wa Levolosi,kuhusiana na mgomo unaoendelea wa vifodi,wana taarifa kuwa huyu Kamanda wa BAVICHA ndio yupo...
Mkoa wa Kinondoni kanda maalum ya Dar es salaam umetoa tamko kali sana leo walipo kuwa wakiongea na waandishi wa habari kwenye ofisi za chama hicho zilizopo maeneo ya mwananyamala ujiji.
Tamko...
Shibuda achafua hali ya hewa mkutano wa pamba
MBUNGE wa Maswa Mashariki (Chadema), John Shibuda, jana alichafua hali ya hewa katika mkutano wa wadau wa pamba baada ya kuwashambulia wakuu wa...
Hivi sasa ktk ya jiji la Mwanza kuna tahaluki kubwa, watu,magari yanakimbia ovyo,shughuli karibu zote zimefungwa. Kama mtakumbuka wana JF hapa Mwanza kumekuwa na mvutano wa kiiman kati ya waislam...
Mwangwi wa uvuaji gamba
Mwandishi Wetu
Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete
Wajiandaa kujiuzulu, kutimkia upinzani
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) sasa kipo hatarini kukimbiwa na kundi...
Salaam Wadau wa JF
Ndugu zangu kuna tukio limetokea hapa Jimboni kwa Mhe. Prof Maghembe. Prof. Huyu amembambikia kijana mmoja ambaye ni Green guard wa Chama chake kesi ya kuvunja ,kujeruhi na...
Jeshi la polisi la jiji la New York (NYPD) liko katika wakati mgumu sana wa kupambana na makundi ya wahalifu (organized crime) hususan waporaji wa mabenki, wafanya biashara ya madawa ya kulevya na...
Second Vice President
Honorable Seif Ali Iddi of Zanzibar will visit FAMU November 2 and 3. On Thursday, Nov. 3, a public forum beginning at 11:15 a.m. will be held in the Lee Hall...
Wakati serikali ya Tanzania imekuwa katika hali ya ukata wa kifedha nchini na kusababisha baadhi ya miradi na malipo mbalimbali kushindwa kufanyika serikali hiyo hiyo imekamilisha ununuzi...
Kamanda Nanyaro Ephata, Mwenyekiti wa BAVICHA Arusha
Arusha imeingia doa kubwa mara baada ykuwepo kwa mgomo wa daladala ambao umedumu kwa masaa sita kutokana na kile kinachodaiwa kuwa Chadema...