Ushauri wangu kwa CHADEMA: Tutengeneze kikosi kabambe cha ulinzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wangu kwa CHADEMA: Tutengeneze kikosi kabambe cha ulinzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Nov 2, 2011.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Reagan aliwahi kusema "Peace through strengh" hili muweze kuheshimiana na mpinzani wako awe adui au hata jirani mwema.
  chadema sasa tumeshaona jinsi serikali dhalimu ya CCM inavyowadhalilisha viongozi wetu tutaendelea kuingalia hali hii mpaka lini ?

  in my opinion ili serikali hii dhalimu tuanze kuheshimiana dawa yao sisi kama chadema kuunda kikosi kabambe cha kulinda viongozi
  wetu kuhakikisha aibu na udharirishaji uliotokea Arusha wakati wa maandamano ya APRIL mwaka huu ya viongozi wetu kupigwa virungu
  haitokei tena ndani ya nchi hii. Tuunde kikosi maalum cha vijana wakakamavu ambao hata itokee nini lazima kuakikisha viongozi wanalindwa
  kwa gharama yeyote ile kutokana na udharirishaji wa polisi tutawaheshimu polisi pindi tu watakapowaheshimu viongozi wetu kama ni kukamatwa basi iwe ni kwa ustaharabu na hakuna hali yeyote ya udharirishaji wa kupigana virungu kwani tutakuwa tayari kupambana na yeyote atakajaribu kumjeruhi kiongozi yeyote eti kwa excuse ya kulinda usalama.

  bila kuchukua hatua hii ya sisi kuunda machinery ya nguvu ya kuweza kujilinda kutokana na udhalilishaji wa polisi basi tusishangae vitendo
  hivi vya udharirishaji wa viongozi vikiendelea wakati wa maandamano yetu yeyote tutakayoyafanya. ni lazima tujenge uwezo wa kukabiliana na
  mabavu ya polisi pale wanapokosa ustaharabu bila hivyo polisi wataendelea kutuchezea kila siku. Njia pekee ya kuwafanya polisi kuwa wastaarabu ni pale tu sisi tutapojenga uwezo wa kuweza kukabiliana nao mara wanapovuka mipaka tu na si vinginevyo.
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu unamaanisha Chadema wawe na jeshi lao au?
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  hapana mkuu tujenge kikosi chetu maalum cha ulinzi kwa ajili ya viongozi wetu kuwakkikishia usalama wao wakati wote wa maandamano tunataka
  watu ambao vumbi la mabomu ya machozi litakapotulia basi wawe wamesimama na viongozi wetu imara na sio kuwaacha wakitumbukia mtaroni wao
  pekee bila ulinzi wa aina yeyote.
   
 4. p

  politiki JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  hapana mkuu tujenge kikosi chetu maalum cha ulinzi kwa ajili ya viongozi wetu kuwakkikishia usalama wao wakati wote wa maandamano tunataka
  watu ambao vumbi la mabomu ya machozi litakapotulia basi wawe wamesimama na viongozi wetu imara na sio kuwaacha wakitumbukia mtaroni wao
  pekee bila ulinzi wa aina yeyote.
   
 5. M

  Mat.E Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu suala siyo kikosi kabambe, suala liwe elimu ya uraia kwa askari wetu, wajue kuwa wao siyo askari wa kikoloni wa kulinda na kutetea maslahi ya mkoloni, wajue kuwa wao kazi yao kuangalia na kulinda usalama wa raia na mali zao, siyo kulinda maslahi ya chama cha siasa wala serikali. Wajue kwamba popote raia walipo wanatakiwa wawe salama, kwamba mali za raia zinap-okuwa popote zinatakiwa kuwa salama!
   
 6. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kikosi cha ulinzi ni JWTZ, hicho ndiyo kinatambulika na katiba ya Tanzania. Kuanzisha kikosi cha ulinzi kingine ni dalili za kuipindua serikali iliyopo madarakani ambacho kinaweza ku-amount to treason charges.
   
 7. T

  Tetere Enjiwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu politiki hebu nifafanuelie, hicho kikosi kabambe cha ulinzi (kku) kitakuwa kinatofautiana vipi na jeshi. Ninavyo elewa mimi kazi ya jeshi ni ulinzi, kku kazi yake itakuwa ni ipi tofauti na ya jeshi?
   
 8. R

  RMA JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iwapo CCM wana Green Guard na hakuna anayewagusa, si mbaya na CDM wakiwa na Blue Guard hadi pale wote tutakapoamua kuitii katiba ya nchi!
   
 9. p

  politiki JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  lengo hapa si kuwa na jeshi bali kikosi cha ulinzi wa viongozi ambao watakuwa tayari kukabiliana na mabomu ya machozi kwa ajili ya kuakikisha usalama wa viongozi na pia kuakikisha viongozi wetu hawadhalilishwi kama ilivyotokea huko arusha kwewnye mahandamano ya April ilibidi tuwe na
  watu kabambe wa ulinzi ambao watakuwa tayari kusimama na viongozi wote akiwemo mke wa DR.SLAA ambaye alifanyiwa unyama na polisi kwa kuwa hawakuwepo watu wa kusimama naye na kumkinga na ujambazi wa polisi. Binafsi sipendi kuwaacha viongozi ktk mazingira vulnerable kama
  hayo. kwahiyo kukujibu swali lako mkuu TETERE ni kwamba kazi maalum ta KKU ni kuakikisha usalama wa viongozi wetu na kuakikisha hawadhalilishwi kama inavyotokea hivi leo binafsi nazungumza from experience miaka hiyo ya tisini kwenye jengo la science ya technologia tuliweza kukabiliana nao mpaka waziri wa sayansi na technologia Bw. makweta akaingilia kati bila hivyo wangesababisha maafa.
   
 10. D

  Dopas JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hoja nzuri ndugu yangu lakini hiyo italeta vita. Nguvu ya umma tu itumike.
   
 11. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
   
 12. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF

  Kwa hili la CDM tuwe na ulizi wetu kwa maana ya kama Greed Guard au Blue Guard? me sidhani kama ni hoja ya kimsingi sisi CDM ni twatumia nguvu ya Umma na tutashinda kwa nguvu ya umma na tunataka Umoja wa mataifa na wana haki za binadamu watambue hilo wasije kutambia tumeingia madarakani kwa kuuwa watu au kumwaga damu sisi tutapambana kwa miguu na vilio kwa kupaza sauti tuki takua UHURU wa kumbwaka KABURU MNYANYAJI MWEUSI katika nchi yetu najua tutakufa wengi ila mwishowe USHINDI UTAPATIKANA
   
 13. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  CCM wana green guards ambao wameua wakala wa Chadema kule Igunga, hivyo ni sawa kabisa Chadema kuanzisha Red Brigade, vinginevyo CCM watamaliza watu lazima wadhibitiwe.
   
Loading...