Houston wakataa Taarifa za Uongo kuhusu Ziara ya Nape | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Houston wakataa Taarifa za Uongo kuhusu Ziara ya Nape

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kinepi_nepi, Nov 1, 2011.

 1. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hapa naleta nini kinasemwa na wana Houston

  Re: [Tanzania-HOUSTONCOMMUNITY] Sifa ya Jamii Yetu Itapotea.

  " Sifa ya jamii yetu itapotea

  Habari za Jioni wana community.


  Kwa masikitiko makubwa sana na penda kuweka sawa mambo kadhaa wazi Hili kuinusuru jammii yetu na kashifa tunazo letewa na baadhi ya watu kwa manufaa yao binafsi.Hawa si wengine bali ni wana CCM wakiongozwa na Bwana Kitogo. Ni jambo lisilo pingika kwamba baadhi ya watu wamekata tamaa na maisha kiasi cha kufanya mambo regardless ina affect vipi Community yetu (Houston Tanzanian Community).


  Please do whatever you wanna do but do not use our community to achive your selfish goals.
  Jamii yetu ya Houston ni mojawapo ya jamii chache za kitanzania zinazoeshimika na watanzania
  dunia nzima, hii haikutokea tu bali ni matokeo ya misimamo yetu na jinsi tunavyo solve matatizo yetu bila kutegemea msaada wa corrupt system back home.

  Wengi wetu tumekuwa tuki fanya kila liwezekano to bring change back home bila kupiga kelele na ndugu zetu wanajua misimamo yetu na nini tunakiamini. Nia yetu ni kumsaidia mtanzania ambaye kila kukicha hali yake inaendelea kuwa duni.

  Naamini kitogo na wenzako mko disconnected na hali halisi ya nyumbani although hata mtoto mdogo anaelewa nini kinaendelea.

  Here comes my Cristal clear message to Kitogo CC your Followers:-

  Unapo post habari yoyote be specific taja wanachama wako tu, sio watanzania waishio Houston hili ndugu zetu huko Africa wajue nani maisha yamemshinda kiasi cha kusaliti watanzania wenzake, wataje majina yao kama unavyo jitaja mwenyewe.

  Hii mail ni matokeo ya posting mlizo zituna Michuzi and other blogs + forums claiming kwamba wanahouston walikubaliana na mawazo ya immature Politician ( Nape Mnauye) na CCM yake on how the government is running stuff back home. This is the Guy who don't believe in:-

  (1) Freedom of the press,

  (2)Accountabity of Govnment officials(According to Nape If they still our money just live them alone )

  How can a Tanzanian living in USA regardless of their education level agree with this?

  Please do not make our community look stupidy.


  E.Katili "

  Re: [Tanzania-HOUSTONCOMMUNITY] Sifa ya Jamii Yetu Itapotea.


  TO: 1 More1 recipient
  CC: recipientsYou More
  BCC: recipientsYou

  Show Details


  FROM:
  TO:
  Message flagged
  Tuesday, November 1, 2011 3:25 AM
  Message body

  Kamanda Katili, hongera sana kwa kuliona hili.

  Ni vyema kujifunza kusimamia ukweli bila kuogopa cheo au mali. Hatutawatendea Watanzania haki tukiacha uongo huu usambae na kudhalilisha jumuiya yetu kana kwamba sote tunaoishi hapa hatujui ugumu wa maisha Tanzania. Ningefurahi sana kama wana CCM wangefanya Coverage ya ukweli bila kupika habari vyumbani mwao wakati wengi tulikuwepo. Inawezekana wenzetu bado wapo enzi za siasa za propaganda.

  Ila nawahakikishia watanzania kuwa CCM Houston itaumbuka vibaya kwa habari hizi za kupika. Ni vyema kuepuka siasa hizi za maji taka ili tu uonekane kwa wakubwa, hapa ndipo tunapotofautiana kwa kiasi kikubwa. Sasa Lile swala la kijana kutaka kuyadhibiti magazeti Tanzania linaeleweka wazi.

  Tunawahakikishia Watanzania kuwa tutauweka ukweli hadharani ili mwenye macho aone mwenye akili asome na mwenye kuelewa aelewe. Tunataka watanzania wajue hatupiganii matumbo yetu bali tupo makini kumkomboa mtanzania kutoka kwenye dimbwi la umasikini.

  Hali ilivyo Tanzania na majibu ya Katibu wa itikadi CCM Nape Nnauye sio mambo ya kushabikia wala kufurahia labda kama huna ndugu wala uchungu na ile nchi. Nchi inaliwa viongozi wanaonyesha kukata tamaa na kukosa suluhisho, viongozi wanaonyesha kuridhika na umasikini ule na kuonyesha kushindwa kabisa kuukabili. Viongozi kukosa uthubutu wa kutenda, wanabakia kujisifia wao wenyewe hii ni hatari.

  Ni nani anaweza kukubali kumpeleka mtoto wake shule isiyo na mwalimu eti kisa tutazalisha waalimu baadaye. Nape anakiri kuwa Ngeleja anatoa ahadi za uongo halafu wao wanamchekea kweli hili ni la kufurahia? Nape ana kubali swala la ufisadi sio kuwajibisha mtu kisheria, kweli mhujumu leo akiwa na kadi ya CCM ni msafi?

  Tutaweka record sawa.

  fue fue ''

  "


  FROM:


  TO:
  Message flagged
  Wednesday, November 2, 2011 11:25 AM


  [h=3]Pasipo shaka yeyote ile;waraka huu wa kutuingiza wa TZ wote tuishio Houston kama ni wana CCM umetoka ndani ya viongozi wa CCM;kwa maana hiyo basi sio dhambi kwao kutuomba radhi wana Houston tusiofungamana na chama cha CCM![/h]
  Kitogo;kuomba radhi sio unyonge bali ni kielelezo cha kukomaa kwa busara na ni kithibitisho cha kujutia kosa ulilofanya;kuna watu mashuhuri duniani waliwahi omba radhi akiwemo Rais Obama alipomteua Seneta Thom Daschle aliyekuwa anatuhumiwa na IRS kwa kukwepa kulipa kodi!Hata Mwl Nyerere aliwahi tuomba radhi wa TZ baada ya miezi aliyotupa ya "kujifunga mikanda"baada ya vita vya Kagera kugeuka miaka

  Karim;sikubaliani na ww kama waraka huu hauna makosa yeyote!Ukweli ni kuwa waraka huu umeiambia dunia kuwa wana Houston wote wameshikamana bega kwa bega na kuwa upande wa CCM jambo ambalo limenipa sana madhara mm ya kuulizwa na wanaoinea huruma TZ yetu kulikoni tena kuwa CCM inayokandamiza wanyonge kwa kugawana vigogo keki ya Taifa!

  Habari hii haijasema ukwel kuhusu Zitto Kabwe na umeshindwa kuchanganua kuwa Zitto ni Mbunge aliyechaguliwa na wa TZ wenye itikadi tofauti kule Kigoma ili hali Nape anasubiri huruma ya kuteuliwa tu ndani ya CCM!Nape sio kiongozi wa kitaifa na uongozi wetu wa Jumuia kukaa meza kuu kunaacha maswali mengi zaidi ya majibu;Uongozi wetu ulipaswa kuiachia CCM ifanye mambo yao wenyewe!

  Then;Kitogo wewe ni kiongozi mwandamizi wa CCM hapa Houston;kwa nn usijitambulishe kwa cheo chako ulipokuwa unaongea na mwandishi wa habari hii ukaishia kujitambulisha kama mkazi tu wa kawaida?Nanukuru ulichosema"hakika CCM imepata katibu mwenezi, mgogoro huu ulidumu kwa muda na kukiathiri sana chama hapa Marekani lakini kuja kwa huyu bwana kumekata kabisa mzizi wa fitina, sasa CCM itaimarika zaidi Marekani" Alisema bwana Kittoga Mtanzania aishie Houston

  Nasisitiza tena CCM kuomba radhi kuhusu waraka huu uliopotosha UMMA wa TZ sio dhambi,na namuunga mkono Emanuel Katili kwa onyo alilotoa;wote tuna wajibu wa kulinda Jamii hii inayoheshimika mno kuendelea kuwa jamii isiyo fuata itikadi ya chama chochote ile!!  Kasapira,

  Kama nilivyo andika hapo awali ni mategemeo yangu uongozi wa CCM utakanusha ile habari, au itabidi tutume audio ambayo tulirekodi ambapo habari ni kwamba NAPE kumkashifu LOWASSA mbele ya Watanzania wa Houston. That will not be friendly kwa CCM and their internal conflicts.

  >
  >On Nov 1, 2011, at 10:17 PM, Emmanuel Emmanuel <ekatili@hotmail.com> wrote:
  >
  >> Kitogo,
  >> Wewe ni mgumu wa kuelewa hatutafika huko kwenye dini na makabila, hii inaonyesha jinsi gani unavyoweza kukimbia ukweli hili kutafuta angle itakayo kusaidia, nani umeona anaelekea
  >> kwenye dini?, but ikitokea ukaamua kuabudu kondoo na ikakufurahisha kuufamisha umma imani yako mpya, waambie kitogo anaabudu kondoo sio useme watanzania wa houston
  >> wanaabudu kondoo unanielewa hapo mkubwa?. Hakuna mtu anayefikiria kukutenga hila unafundishwa maadili na nina amini ujumbe umeupata ingawa Jeuri yako ndo inakufanya
  >> ushindwe kuomba msamaha.
  >>
  >> Kuhusu ushahidi tulia tu huu uwanja mdogo, muda , wakati na sehemu kaa tayari.
  >> Nimekwambia part two inakuja au hilo nalo gumu kuelewa?.
  >> E.Katili
  >>
  >> >> 2011/11/1 Emmanuel Emmanuel <ekatili@hotmail.com>
  >>
  >> Kitogo,
  >> Sikuona haja ya kuwasiliana na wewe kwa sababu ulitakiwa kuwasiliana na wanajumia mimi nikiwa mmoja wao
  >> kabla ujaanza kupost habari za kupotosha watanzania kuhusu Houston community. Pili ushafanya mambo kwenye jamii
  >> ikiwa ni pamoja na kutishia maisha ya watu hapo nyuma , tuliyafumbia macho tukidhani utajirekebisha lakini inaonyesha
  >> bado unaamini kuwa uhuru wa kufanya ulipendalo ni pamoja na kufanya mambo ambayo yana madhara kwa jamii yetu
  >> na sisi tukae kimya. Leo napenda kukuhakikishia kwamba Katili ataongea ukweli tu.
  >>
  >> Unasema uniombee kwa mwenyezi Mungu?
  >> Wafuatao ni Watu unao takiwa kuwaombea:-
  >> 1.Wewe mwenyewe hili ujue jema na baya,maana ya neno busara, maana ya neno hekima kwa sababu
  >> ulitakiwa kutumia maneno hayo kabla uja post Habari ya kuifedhehesha jamii.
  >> 2.CCM, ili wajue kuwa mali ya nchi ni kwa ajili ya Watanzania wote na sio kwa wachache wenye uchu.
  >> 3.Nape, ili ajue kwamba watu wanao iba mali ya wanachi wanatakiwa kuadhibiwa.
  >> 4.CCM Marekani, ili wajue kwamba njia pekee ya kujikomboa na maisha ni kufanya kazi kwa bidii.
  >>
  >> Nilidhani utatumia muda huu kuomba radhi kwa wana Community kabla hatujapeleka hii kitu Public .
  >> Part two ni kurudisha sifa ya Jumuia yetu uliyo ipaka matope wewe na wenzako, I know for sure you r not gonna
  >> like it.
  >>
  >> E.Katili
  >>

  [h=3]Re: [Tanzania-HOUSTONCOMMUNITY] Sifa ya Jamii Yetu Itapotea.[/h]FROM:


  TO:
  Message flagged
  Tuesday, November 1, 2011 8:18 AM


  [h=3]Message body[/h]
  Wanajumuia,  Nadhani swala ambalo ni critical ni kwa yeyote yule ni kumislead Tanzanian community across the global concern Nape Invitation here in Houston. Nimesoma sehemu moja ya article kwenye michuzi and author said Zitto had 15 people when he visited Houston. I think that is total absurd if not stupid, the point blank is not to use cheap politics to acquire fame in Tanzania. Honest, as part of this community i feel very disturb and ashamed with the whole article (in Michuzi Blog) which shows less credibility and pathetic mind. I am not against any political party movement anywhere in the world, what am against in misleading news. I was part of the people who coordinate Zitto conference in Houston, and that hasn't have anything to do with Nape. Why Zitto name appeared on that article? Why tell lies? The community leaders asked the whole community to come and listen despite our party affiliation? My question ni kwenu CCM jee was that a strategy just to pull everyone in so you can score a political point? I think this is total cheap politics and i argue our leaders in community to distance themselves with such people.  My take, whoever post that article i challenged him or her to cleaned some of the misleading paragraphs. Or I will send a real story and believe me it will not be friendly. We can't all look stupid because of one adult play immature.  Regards,


  Iddi Mwanyoka

   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Haya sasa!
  Uwongo na kujipendekeza kwa watu kwa malengo fulani kumewekwa hadharani!
  Ile kitu ya jana kumbe imefanyiwa design na kundi la waongo wachache kuletwa hapa ili kuwajenga watu fulani kimtazamo wao ndani ya jamii, baada ya kuonekana wananuka!
  Time speaks bana....usicheze na Muda bwana NAPE!
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,005
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  mmmmmh! tandale one na taarifa yake ya kumfagilia nape,
  hizi siasa za siku hizi zinazotegemea huruma ya media ni mbaya sana.
   
 4. J

  John Marwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashauri maswala ya Wakimbizi wa USA tuache wajadiliane wao wenyewe(wakimbizi-wakimbizi)hapa bongo tuna mambo mengi yanayotukabili
   
 5. Unyanga

  Unyanga JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nimejaribu kuangalia kwa umakini sana hiyo post hapo juu, kinachoonekana ni mgongano wa kiitikadi baina ya ccm na oppositions, mwandish wa mwanzo analaumiwa kwa kusema watu walioko diaspora walikubaliana na nape juu ya utendaji wa serhkali, who are they by the way mpaka wakubaliane na nape na kutuaminisha kuwa serikali inatenda sawa? Then leo kinakuja kikundi kingine kikikanusha kuwa nape hakukutana na wanajamii ya houston bali ni wanachama wachache wa ccm ila anachokisahau na yeye pia anatumia kivuli hicho hicho cha jamii ya houston bila kujua ni mchanganyiko wa wapenzi wa ccm and oposition of ccm.
  Ushauri:
  wana diaspora wa houston hawawezi kutatua matatizo yetu ila ni sisi wenyewe tunaoish tz ndo tutakao tatua matatizo yetu.
   
 6. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Na nyinyi mnatusumbua hebu tutoleeni unafiki wenu, mnatoa ahadi kibao afu matokeo yake mnapotelea mitini. Mliahidi kandamana jk akija matokeo mkabaki kumsifia. Mi naona na nyinyi ni waganga njaa tu, kuleni kona mnatuudhi tu. Sisi huku ndo tunaoexperience maisha magumu si ninyi mlioko state. Tutoleeni umbea wenu.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,476
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wameanza kupingana wenyewe kwa wenyewe sasa..
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kuna vijana kama kumi wanalipwa kuleta posts, kuzitetea na kujaza thread na nape.... kwake yeye hiyo ndio itikadi!!!

  No remorse whatsoever with politico-money
   
 9. T

  Tata JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,745
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Kuna tofauti kati ya mkimbizi, mhamiaji na mlowezi. Hawa ndugu zetu wanaoishi Marekani hawawezi kuwa wakimbizi ni ama wahamiaji au walowezi.
   
 10. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,005
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  ni wendawazimu tu wasiotaka kujua kuwa mabadiliko ya kweli kwa sasa hayaletwi na itikadi, ni facts tu, sasa sijui nape na hiyo timu yake wanatambua hilo au la.
   
 11. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mtawaita wakimbizi baada ya kuusema ukweli. Na hata kama ni wakimbizi kweli, ukimbizi wao utakuwa umechangiwa na sera mbovu za ccm ambazo zimepelekea maisha kuwa magumu na kuwafanya baadhi ya watz wakatafute riziki ughaibuni.
   
 12. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mbona kaweka picha facebook akiwa huko...
   
 13. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
 14. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,662
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni misukule ya Nape, hata hapa nyumbani wapo, Rejao,FF, MZEE, RITZ,MS,TOPICAL na wengineo wengi. Hawa ni makuwadi wa mafisadi , wako radhi kufanya lolte kuwaridhisha mabwana zao mafisadi.
   
 15. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ok nmepata picha hapa juu ya hii mambo
   
 16. Bu'yaka

  Bu'yaka JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 80
  And you sure did look stupid. Niliona ile taarifa nikasema duu wabongo wa Houston na ujanja wote ndio wamekuwa wanyela namna hii? Kumbe uongo. Thank you bwana Katili.

  Sasa kuna kiongozi mwingine wa Wabongo wa New York nae ka post tangazo kwamba Watanzania wa New York wanamu host Nnauye kwenye restaurant on Wednesday. Fair warning, whatever you do out there please do not do it in the name or fees za member wote.

  Sio Watanzania wote wanaoishi Marekani wanafagilia CCM!
   
 17. U

  Uyole12 JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 586
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kumbe kujisifu kwote kule kwa nape aliambulia chenga majuu. Kweli njia ya muongo ni fupi.
   
 18. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  I hope wamekusikia mkuu
   
 19. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Amerika, America, Amerika. mbona shughuli??? tuamini lipi sasa. Wakati ule mkatuambia jk akija huko mmeandaa mabango na maandamano makubwa kumuonyesha kuwa hamridhiki na jinsi anavyoiongoza nchi. mkarembaremba na maneno mengi tukawaamini. matokeo yake tukaja kuonyeshwa jinsi mlivyokuwa mnakula kuku naye na kuchekacheka mpaka jino la mwisho kama vile hamna habari na mlichokuwa mnatuambia.

  Sasa hata katika hili mimi nashindwa kuwaamini. Kesho na kesho kutwa tutapata hapa hapa jf tutaonyeshwa jinsi mlivyokuwa mnamkumbatia huyo nepi na kumpongeza kwa umagamba wake. Shame (on you)
   
 20. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Aibu sana, Duhhh
   
Loading...