Katika magazeti karibu yote leo 2/11/2011 yana habari nzito za serikali kudaiwa na makandarasi kiasi cha Tshs 425billion kwa miradi ambayo kimsingi ni "hewa".
"Hewa" hii imetokana vipi?
Hii hewa...
Kama ulidhani unachokisoma vitabuni kuhusu Mwanamapinduzi Martin Luther King Jr kilitokea hapa tu nchini Marekani basi ujue unajidanganya tena sana, hebu mwone huyo Mtetezi wa wanyonge hapo juu...
Kazi za kisiasa sharti zifanywe na wanasiasa. Polisi hata siku moja hawawezi kufanya kazi za kisiasa kwa ufanisi! ccm kama chama cha kisiasa kimewaachia polisi wakifanyie kazi zake za kisiasa na...
NEWS
Kenya, Uganda and Tanzania currencies. Initial efforts by the East African Community to reach a common position on rolling out a single currency for the region have run into hurdles. File...
Wakuu,
nawakilisha taarifa kuhusu utafiti uliofanyika kuhusiana na hali ya sekta ya afya nchini ktk eneo la upatikanaji wa madawa.
Nimeambatanisha na attachment ya documents husika Taarifa kwa...
Rais ameagiza Lema atolewe gerezani mara moja (remove order) kwa dhamana ya ofisi ya rais ili kuepusha mgogoro na maafa yanayoweza kutokea huko Arusha.
Chanzo sio cha kuaminika sana lakini kama...
" I MAY BE WEARING A SMILE BUT IT COULD BE VERY EXCEPTIONAL, I'M FIRM ON ISSUES, NASEMA NINA MSIMAMO KWENYE MASUALA YA MSINGI"
Haya ni maneo ambayo aliyatumia Mhe Rais wetu JK mwaka 2005 Desemba...
In parts of Tanzania, religious leaders are behind a shift in attitudes that could help to reduce HIV infection, improve maternal health and curb rapid population growth
Zanzibar's population...
425bn/- roads project debt still unpaid
By The guardian reporter
2nd November 2011
Watchdog committee says work has stalled or slowed
Committee chairman Peter Serukamba
Failure by...
Kwa muda nimeliwaza hili nimeona leo niliongelee.
Binafsi huwa nashangaa serikali yetu kung'ang'ania vyanzo vilevile vya mapato miaka nenda miaka rudi. Kwa mfano utakuta kila mwaka hayo ma road...
Updates: Hali ya Arusha imeanza kubadilika ghafla, hakuna hiace hususani maeneo ya mjini. Awali ilionekana kama ingekuwa shwari.
Hali ya usafiri asubuhi ilikuwa ni ya kawaida kama...
Na Jabir Idrissa - Imechapwa 26 October 2011
BALOZI wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) ameshindwa kuthibitisha iwapo nchi yake imeomba majeshi kutoka Tanzania.Katika mahojiano na...
Sioni kama hili la leo lililofanywa na akina Mrema ni suluhu ya hilo tatizo au vipi, Kwa kifupi Mkurugenzi wa Halmashuri ya Wilaya ya Kishapu ametia hasara serikali yetu sh billioni tatu ila...
Hivi IGP Mwema,wema wake upo wapi kwa watanzania? kwanini asichukue uamuzi mwepesi wa kumfuta huyu Gamba aliyevaa magwanda ya kaki na yaliyowekwa nyota mabegani?
Mzembe sana Zuzu beriberi eti OCD...
Na Agnes Mwaijega
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bi.Sophia Simba, amewataka vijana kutegemea shughuli za ujasiriamali ili kujikomboa kiuchumi na kuondokana na umasikini badala ya...
Kipindi cha Nyerere mfumo wa siasa ulikuwa ujamaa na kujitegemea tangu aondoke madarakani na duniani hali imegeuka na sasa tupo kwenye mfumo wa unyama na kujimegea je baada ya hapa mfumo gani...
Today is a November 1st, it's an important and historical day to our loved nation. It was in this day, Gen Amin, and his Ugandan forces invaded Tanzania. The war between Tanzania and Uganda...
Nimesoma kitabu cha Nelson Mandela cha ‘THE LONG WALK TO FREEDOM – Ni kitabu kikubwa kiasi. Tukio kubwa ktk kitabu hicho ni Mandela kukamatwa na polisi wa makaburu kwa tuhuma za...
Mimi ni mwanachadema tangu 2005 na ninakipenda sana chama chetu makini CHADEMA. Kama wadau na wenye chama tunachukuliaje jambo alilofanya Mh. Lema kwa kukataa dhamana na kukubali kuingia gerezani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.