Mwanza hali si shwari, risasi za moto na mabom ya machozi yapigwa

Sabung'ori

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
2,166
1,247
Hivi sasa ktk ya jiji la Mwanza kuna tahaluki kubwa, watu,magari yanakimbia ovyo,shughuli karibu zote zimefungwa. Kama mtakumbuka wana JF hapa Mwanza kumekuwa na mvutano wa kiiman kati ya waislam na wakristo uliopelekea kuchomwa moto kwa kitabu kitakatifu (kuruan) na kuchomwa moto kwa kanisa.

Leo ndo ilikuwa siku ambayo kesi ilikuwa inasikilizwa mahakaman na ndo vurugi hii ilipoanzia, hadi napost habari hii sijapata kujua ni nini chanzo hasa cha vurugu hizi kutokea hapo mahakaman na kusambaa hadi ktk ya jiji.
 
,mchungaji kashinda kesi ..huu ulikuwa ni ushindani wa kipuuzi hata huo mchungaji na waislamu ni wapuuzi vile vile ...hawalijui neno la Mungu
 
nimeongea na mtu aliyekaribu na tukio, ni kwamba yule mchungaji ameshinda kesi iliyofunguliwa zidi yake na WAISLAM MWANZA ya kuchoma Qur'ani Tukufu, kulikuwa na ubishi kati yake na hao waislam kwamba ukichoma QURAN haiungui, na hauchukui siku 2 utakufa, naye akaichukua na kuichoma na hakufa

Na wao kuona hivyo wakachoma KANISA moja hapo MWANZA waliokamatwa wakafunguliwa mashitaka na kufungwa , lakini leo ndiyo ilikuwa hukumu ya mchungaji, na mchungaji ameshinda kesi kwasababu hana hatia ya kujibu kwamba ulikuwa ubishani wa kawaida tu, na yeye mchungaji QURQNI aliinunua mwenyewe.

Kwa hiyo hakuna kesi ameachiwa huru, then ndo wanaleta fujo hapo wanataka kumua na POLICE ndo wanafyatua MABOMU kutawanya watu, nasikia wapo kama 400, hivi
 
nimeongea na mtu aliyekaribu na tukio, ni kwamba yule mchungaji ameshinda kesi iliyofunguliwa zidi yake na WAISLAM MWANZA ya kuchoma Qur'ani Tukufu, kulikuwa na ubishi kati yake na hao waislam kwamba ukichoma QURAN haiungui, na hauchukui siku 2 utakufa, naye akaichukua na kuichoma na hakufa, na wao kuona hivyo wakachoma KANISA moja hapo MWANZA waliokamatwa wakafunguliwa mashitaka na kufungwa , lakini leo ndiyo ilikuwa hukumu ya mchungaji, na mchungaji ameshinda kesi kwasababu hana hatia ya kujibu kwamba ulikuwa ubishani wa kawaida tu, na yeye mchungaji QURQNI aliinunua mwenyewe, kwa hiyo hakuna kesi ameachiwa huru, then ndo wanaleta fujo hapo wanataka kumua na POLICE ndo wanafyatua MABOMU kutawanya watu, nasikia wapo kama 400, hivi



Sasa wanagombana nini wakati wenyewe walikubali kama sehemu ya ubishani? walitaka washinde kesi wakati wenyewe walikubali?

Tukiacha mambo ya imani pembeni, akili ina umuhimu wake
 
Naanza kumkumbuka Mwl.nyerere sasa...hivi tutapona kweli kwa hali hii..vita ya udini ni mbaya sana kuliko maelezo,viongozi tuliowapa dhamana fanyeni kazi yenu.
 
Kwa hiyo vurugu zitakuwa chanzo ni Mchungaji kushind kesi .Mh huu ni upuuzi mwingine sasa .Kuna mahakama ilisema Yesu si Mungu na yule kijana wa kiisalam akaachiwa hapakuwa na vurugu leo vurugu zinatoka wapi bada ya uamuzi a mahakama ?

Tatizo ni kwamba baadhi ya ndugu zetu wanatetea upuuzi wowote ali mradi una husu dini yao! Jamani tujitahidi pia kuwa na "ELIMU DUNIA" kwani itatusaidia kupata ufahamu wa kupambanua mambo. Mungu Ibariki Tanzania.
 
Hilo ndilo tatizo la kushikamana na dini badala ya kuwa na MAHUSIANO BINAFSI MAZURI NA MUNGU, Mwenye mauhusiano safi na Mungu huwezi kumsikia akiitukana dini ya mtu mwingine, maana dini zilianzishwa na watu au taasisi fulani tu na si Mungu na wala Mungu hana dini. Na anataka wanadamu kujitahidi kuwa watakatifu kama Yeye Mungu alivyo Mtakatifu.

Ipo haja nchi hii kutawaliwa na pagani linaloamini katika Kufanya Kazi tu
 
Naanza kumkumbuka Mwl.nyerere sasa...hivi tutapona kweli kwa hali hii..vita ya udini ni mbaya sana kuliko maelezo,viongozi tuliowapa dhamana fanyeni kazi yenu.

Viongozi wenyewe ndo wako mstari wa mbele kuchochea udini. Ebu fikiria hili kama sio upendeleo wa kiimani / kidini? Ni taasisi gani ya kibiashara inaweza kutoa mikopo pasipo riba?

Ukipata jibu; kawaulize NBC / KCB ni kwa nini wanatoa mikopo kwa wenye imani fulani bila riba na sharti ni lazima uje na barua ya kiongozi wako wa dini. Kama si viongozi wetu tuliowapa dhamana hiyo kuchochea udini ni nini?

Tangu awamu ya pili ya uongozi wa nchi hii kumekuwa na kampeini ya kudhohofisha dini fulani na ku-promote dini nyingine. Ni hafadhari mfadhili wao amevuna alichopanda huko Libya. HABARI NDO HIYO.
 
Wanajiona wako juu ya sheria, kama hawajridhika na uamuzi wa mahakama si wanayo nafasi ya kukata rufaa au hawalijui hilo? Kama wakimuu huyo mchungaji aliyeshnda kesi nao watafunguliwa kesi ya mauaji ya kukusudia, kwa sheria za sasa zaTanzania nao watahukumiwa kifo na kunyongwa.

Swali je, ni nini kitafuata hapa kama sio machafuko ya kidini kusambaa zaidi na kuvuruga amani ya nchi kwa sababu tu ya upumbavu wa watu wachache. Naomba waliobahatika kusoma wawaelimishe hao ndugu zetu, zama za JIHAD zimekwisha mda wake.
 
Kwa hiyo vurugu zitakuwa chanzo ni Mchungaji kushind kesi .Mh huu ni upuuzi mwingine sasa .Kuna mahakama ilisema Yesu si Mungu na yule kijana wa kiisalam akaachiwa hapakuwa na vurugu leo vurugu zinatoka wapi bada ya uamuzi a mahakama ?
Wenzetu nao ni tatizo.
 
Wanajiona wako juu ya sheria, kama hawajridhika na uamuzi wa mahakama si wanayo nafasi ya kukata rufaa au hawalijui hilo?? Kama wakimuu huyo mchungaji aliyeshnda kesi nao watafunguliwa kesi ya mauaji ya kukusudia, kwa sheria za sasa zaTanzania nao watahukumiwa kifo na kunyongwa, swali je, ni nini kitafuata hapa kama sio machafuko ya kidini kusambaa zaidi na kuvuruga amani ya nchi kwa sababu tu ya upumbavu wa watu wachache. Naomba waliobahatika kusoma wawaelimishe hao ndugu zetu, zama za JIHAD zimekwisha mda wake.

nDG. yangu sheria za Tanzania ziko kwenye maandishi tu wala hazifanyi kazi. Inatubidi tuungane kuhakikisha sheria hizo zinafanya kazi bila upendeleo. Unajua kuwa waliohukumiwa kunyongwa (wale walomuua Jenerali Kombe) wako mtaani wanakula bata? Walioko juu wanapindisha sheria wanavyojua wao! SAA YA UKOMBOZI NI SASA!
 
​wote ni wapuuzi tu mana sidhani ka wanalifahamu neno la Mungu vizuri ni ushabiki tu hebu tusubirie tamko la BAKUWATA.
 
Watu wameenda mahakamani, Mahakama imeshindwa kuprove kama yale majivu kweli ni ya quran.

Mshikaji kawa proved Innocent.

What if, Biblia ndio ulichomwa? kungekua na maandamano?
 
Back
Top Bottom