Tanzania yatumia zaidi ya shilingi bilioni 60 US ndani ya miaka miwili ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania yatumia zaidi ya shilingi bilioni 60 US ndani ya miaka miwili !

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Nov 2, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Wakati serikali ya Tanzania imekuwa katika hali ya ukata wa kifedha nchini na kusababisha baadhi ya miradi na malipo mbalimbali kushindwa kufanyika serikali hiyo hiyo imekamilisha ununuzi mwingine mkubwa wa tatu wa majengo nchini Marekani ndani ya miaka miwili. Serikali ya Tanzania imekamilisha ununuzi wa jengo kubwa huko New York ambalo limegharimu dola za Kimarekani milioni 24.5 karibu sawa na shilingi bilioni 41.6 za Tanzania.


  Jengo hilo jipya liitwalo Timekeeper Building (pichani) ni la ghorofa sita na lenye ukubwa wa futi 40,000 za mraba lipo jijini New York karibu na Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa. Jengo hilo limenunuliwa toka kampuni ya madalali wa majengo ya Amerimar ya huko Philadelphia jimbo la Pennsylvania. Kampuni ya Amerimar ilinunua jengo hilo mwaka 2005 kwa gharama ya dola milioni 15.45 kutoka kwa kampuni nyingine ya Mittman Associates. SOMA ZAIDI KWENYE FIKRAPEVU
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu naomba kufahamu kwa nini tanzania tununue hilo jengo'vilevile naomba kujua hiyo idea ilitoka kwa nani'na je ni lazima tumiliki jengo kama hilo kwenye nchi ya kigeni?
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Wanasema tutakodisha ofisi

  Lakini kabla ya hapo tungependa kuambiwa nani kafanya cost evaluation pamoja na value evaluation

  Manake uskute hiyo kitu ni kifuu tundu
   
 4. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Yasije kuwa kama mambo ya Ubalozi wa Italia?
   
 5. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sioni tatizo kama in a long term itakua na cost benefit kuliko kupanga
   
 6. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  FairPlayer,

  Hata mimi sioni shida, lakini si tuangalie vipaumbele kwanza. Kwa nini tushindwe kumalizia bara bara na tulipie jengo!!
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kuna hilo lakini kuna swali je ni wakati "huu" wakati watoto wake wanashindwa kwenda shule, mishahara ya watumishi inabaniwa na ujenzi wa barabara umekwama kwa sababu ya ukosefu wa fedha.. hapa hatujagusia tatizo la nishati...
   
 8. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hakuna uhakika kama kweli ni tanzania ndo imenunua kwa sababu watanzania wala wawakilishi wao hawajaambiwa. nadhani kuna taratibu za ununuzi wa serkali je zimezingatiwa? Kabla ya kujadili kama inafaida au hapana kwanza tujiulize kama kweli hilo jengo limenunuliwa na serkali ya JMT au ni mali binafsi kwa mgongo wa serkali. Na kama ni kweli serkali ndo imenunua je taratibu zimefuatwa?
   
 9. l

  limited JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  what is the main reason to buy a house in new york? and hili jengo litatusaidia nini haswa? nan ni watu gani hao wanaoisahuri serekali yetu kufanya manunuzi ya namna hii? je hatuna jengo la ubalozi marekani?....... kweli 40 billion TSh duh hapo unapata dawa kwenye hospitali ngapi za wilaya? madawati mangapi? maabara mangapi ya shule za sekondari? unasomesha watoto wangapi chuo kikuu ? kuna maswali najiuliza napata shida kuyajibu(kama kuna washauri serekali hii wote ciwaelewi)
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,410
  Trophy Points: 280
  wakubbwa wamecukua cha juu hapo ..ndio maana wanaiba sana kura kwa sababu wanajua kuwa maovu yao yatanaswa
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Tatizo la Serikali hii sio Vipaombele..........sio kwamba hawawezi kuviweka. NO.
  Nobody cares as long as kila mmoja anafanya kinachompa maslahi binafsi.

  Wakati watoto wa masikini wanasoma madarasa mawili kwenye chumba kimoja cha darasa.
  [​IMG]
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu una uhakika hiyo ndio priority kweli?
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​kuna harufu ya utapeli na uhujumu uchumi hapa ni UWALAKINI MTUPU.
   
 14. JS

  JS JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni idea nzuri sana ya kumiliki jengo la Ubalozi katika nchi ambayo Tz ina mwakilishi (balozi)....kwa sababu unakuwa umepunguza kwa kiasi kikubwa kodi ambayo huwa ni ya bei ya juu sana kwa mwaka kama inavyodaiwa. Lakini hii yote inatakiwa iende na vipaumbele sasa shida Serikali yetu haina vipaumbele inakurupuka tu ili mradi wamefanya.

  Na kabla ya kununua jengo au chochote kwa ajili ya Ubalozi wowote popote pale lazima kufanyike mchakato wa ku-evaluate umuhimu wa kuwa na jengo hilo na kama kweli litapunguza costs, etc etc etc. na huu mchakato lazima uhusishe wawakilishi wa wananchi na uwe wazi kwa public sio mambo ya kufanyika kisiri siri. Lakini in this case, it seems nothing like that has taken place other than watu kujiekea maslahi yao binafsi. 40 Billion kwa jengo??? something isnt right somewhere.
   
 15. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Bigirita,

  Hapa ndipo na mimi ninapotatizika!! Tuna matatizo lukuki tu ambayo yanahitaji immediate intervention!! MKJJ hapo juu ameongeza kuna na umeme, walisema mgao umekwisha, sasa siku hizi nasiki ndo worse, unakatika hovyo hovyo bila mpango!!

  Mashule, walimu, wanafunzi wa elimu ya juu, barabara, mishahara ya watumishi, and FYI haya ni machahe tu....

  Watu wanakimbilia kununua jengo NY. Najua siku wakijibu watasema gharama za mapango ni kubwa!! Sasa kwani wamejua leo ni kubwa? Au ubalozi wa TZ huko uko leo?

  Commanding-In-Chief yuko zake shopping tu anapeta, akirudi huko atakuja na sera za kuhalalisha ushoga ili bakuli lake lijae, si umemsikia David!!!!
   
 16. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  You sound like "doubting Thomas" in your questions whose answers are available in every "kijiwe" in the country..which are a) The building has been bought by the government b)It was single sourced because of the agency stipulated in requisition to purchase c) The fund come from the budget which was passed by parliament. The question now to ask would be (and originator of the thread had asked ) Is it a priority to buy such a "lavish" structure in New York at this time? Nahisi ule msemo kupanga ni kuchagua unamaana hapa
   
 17. G

  Godwine JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kwa hilo si tatizo kwani ni uwekezaji uwekezaji mzuri na muda si mrefu wataanza kupata kodi na kuepusha matumizi yasiyo ya lazima kwa nchi yetu pindi viongozi wetu wanapokuwa huko
   
 18. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  What is said in every kijiwe in the country may not reflect the reality but also remember incidences relating to ccm government foreign purchases which ended up being real scandals such as Prof. Mahalu and italian embassy, Magamba and Richmond/dowans or Mr. Chenge and Radar etc etc. Those transactions involved professional people and registered genuine foreign companies. In this country of chukua chako mapema philosophy bringing up evidences from foreign companies or parliament authorization of any government transaction does not prove anything.
   
 19. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,771
  Trophy Points: 280
  Pesa zikipungua serikali itachapisha pesa mpya.
   
 20. k

  kiwalanikwagude Member

  #20
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmmh nina shaka hapa kama kina Ambassador Mwanaidi Majar hawajapiga cha juu...mmmh au JK huyuhuyu, mi naona ufanyike uchunguzi, labda to put record clear Comrade Mwanakijiji upo hapo Detroit, je umeshafanya uchunguzi wowote? hatutaki tume ya bunge wala nini? wala macorps wetu, na mimi naanza kufatilia week kesho tu, nitafika pale kwenye hilo jengo mpaka baada ya one week nitaleta at least half a job hapa jamvini
   
Loading...