Najijua
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 1,039
- 180
Jana nimesikiliza taarifa ya habari channel ten na kuona wafanya biashara wa soko linaloitwa la sokom la kimataifa la samaki Feri eti halina maji na wakati huo huo jiji wanakusanya kodi kwenda mbele.
Najiuliza JK hata hili jambo ambalo lipo karibu kabisa na ofisi na makazi yake ya uraisi yana mshinda?atawezaje zile ahadi zaidi ya 100 alizotoa?
Wa Japan walilitengeneza kwa msaada tunahitaji tena msaada wa kulitunza?tuache kujifedhehesha jamani