JF, mmemuona Shein analia na maoni yenu?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Taarifa ya habari usiku huu wote mtakuwa mmeona Shein anaongea kwa hasira jinsi mlivyomsema juu ya yeye kula kiapo Dar na kuingia katika baraza la Mawaziri .Jamani mmemkaba koo sana huyu ndugu hadi kaamua kusema na si msemaji kwa kawaida , punguzeni kasi lakini msiache kuchambua maana ujumbe kumbe wanaupata unawaingia vilivyo .

Au unasemaje kuhusu kauli yake ?Si umemisikia ?
 
kaka lunyungu binafsi sijamsikia maana hapa niko kwenye heka heka kweli ...ila niliona reaction ya ndugu zake kule kwao..wengi walisema amewazalilisha sana....
 
Nimemsikia anapinga maoni yote ya JF, nimefurahi kumbe ujumbe wetu huwa anafika, duh! Hongereni wanaJF expt malaria et al

Hakika JF mmembana mzee mbavu hata kaamua kutamka hadharani na kusema watu hawajui katiba wasaidiwe .Kalaani wana siasa wakubwa kwa mujibu wake kumpakazia .
 
kwa sasa mimi namchukulia kama waziri yeyote hapa tanzania..

Kwani lini alikuwa Rais ? Yeye ni rais wa Nchi gani Duniani ?
Yeye ni waziri mkuu wa pili au Msaidizi wa Rais maana Urais wa pale alipo nani anapatambua Duniani ?
 
Taarifa ya habari usiku huu wote mtakuwa mmeona Shein anaongea kwa hasira jinsi mlivyomsema juu ya yeye kula kiapo Dar na kuingia katika baraza la Mawaziri .Jamani mmemkaba koo sana huyu ndugu hadi kaamua kusema na si msemaji kwa kawaida , punguzeni kasi lakini msiache kuchambua maana ujumbe kumbe wanaupata unawaingia vilivyo .

Au unasemaje kuhusu kauli yake ?Si umemisikia ?

Lunyungu tutendee haki tuiso karibu na tv kwa kusamaraiz alichosema...
 
.........huku Tanganyika yeye ni waziri wa kawaida, na huko Zenji ni rais wao, mbona hii ni wazi tu kelele za nini.
ni uweli usiopingika ku yule mzee kuapa kwake kule kumemshushia hadhi sana...anaonekana kama waziri wa kawaida tu
 
Alisema yeye aliapishwa kuingia kwenye baraza la mawaziri kama desturi ilivyo kwa mujibu wa Katiba hajawa wa kwanza akasema waambieni hao ,I read some of the papers Mimi nikiingia pale kuna kibao kimeandikwa Dr Shein Raisi wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la wawakilishi period
 
Dr Shein kwangu ni mbunge wa jimbo la Zanzibar ambaye pia ni waziri wa Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania akiiwakilsha Zanzibar(JIMBO)katiba baraza la mawaziri!!!Rais gani anaapa kama waziri popote duniani ?Tusidanganyane hapa
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom