Kasi ya ushoga inatisha.......!!!

J.K.Rayhope

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
316
31
Hivi karibuni kumeibuka minong'ono ya serikali ya Uingereza kuisaidia Tz kwa masharti ya kutambua uwepo wa mashoga.Ni kweli anaekusaidia ana uwezo wa kukushauri mambo fulani,mabaya au mazuri,SI KUKUAMULIA MAMBO YAKO.Kwa hili haliendani na UTANZANIA.Lakini tayari wapo na walianzia mbali,tuwafanyeje?Na kama tutakubali ushoga na ndoa za jinsia moja,watasaidiwa kwa sheria gani kama zilivyo za ndoa?Wataona kwa malengo gani?Shehe,Mchungaji,Padri,Askofu watatumia vitabu gani kuwasaidia kiroho?Hakimu au Baraza la Wazee watatumia sheria ipi kutatua matatizo yao ya kinyumba?Ni kweli tatizo lipo na linakuwa,tufanyeje WanaJF
 
Back
Top Bottom