Wafuasi wa CHADEMA wafikishwa mahakamani - Arusha

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Kwa Mujibu wa Mwana harakati aliyeko arusha kani juza kuwa wale wanachama wa CHADEMA waliokamatwa na Police Mtaa wa DECEMBER jana mchana wakiwa kwenye shughuli zao bianafsi na kuswekwa rumande(Police) kwa sasa wako mahakamani.

NB;
Na yasemekana M/Kiti wa BAVICHA hayomo kwenye kundi Hilo bali ameonekana na yupo akifanya utaratibu wa kuwawekea mdhamana wanachama hao

Kwa walio Arusha mtujuze zaidi
 
huo mtaa ndo ule wa magereji? police wanaumaind sana maana makenika wote wanapeperusha flag za white an blue
 
Wamekamwatwa na polisi wakiwa kwenye shughuli zao?
Hakuna makosa kama hayo wewe elezea vizuri makosa yao
 
Wamepelekwa mahakamani kwa kosa gani??

Kwa mujibu wa habari zilivyosema jana ni kuwa walihusishwa na yale police wanancho dai ni Maandamano ya lema ila tutapata habari kamili muda si mrefu.

Kukamatwa kweli walifuatwa eno lao la kazi hapo december kwa shutuma hizo sasa hapo december kwa me navyo jua ni mahali watu wanafanya kazi zao na huo mtaaa unavyojulikana ni mtaaa wa wana chadema ndivyo nasikia wanavyo uita siku hizi.
 
Lile ni tawi la Chadema mkuu Kama ulikuwa haujui.
 
Mtaa wa December walioko kule woote ni wakeretwa wa Chadema jamani! nendeni hata sasa hivi mtaona bendera zoote zinazopepea ni za Chadema hakuna bendera ya Cuf wala Ccm! kwahiyo polis inawauma sana.
 
Ni kweli wanachadema 24 wamefikishwa mahakamani kwa mashtaka ya kuharibu mali,pamoja na kushusha abiria kwenye vifodi,bado tupo hapa mahakama ya hakimui mkazi,hadi sasa tunaendelea na taratibu za dhamana
Wanachama wengine 20 wameachiwa kutoka kituo kikuu cha polisi na kutakiwa kufika kituoni hapo jumatatu
Ntaendelea kuwajuza
 
24 wamefikishwa mahakamani 20 wameachiwa kwa iyo bado mnahainga kuwatoa hao 4,sindio?
 
Ni kweli wanachadema 24 wamefikishwa mahakamani kwa mashtaka ya kuharibu mali,pamoja na kushusha abiria kwenye vifodi,bado tupo hapa mahakama ya hakimui mkazi,hadi sasa tunaendelea na taratibu za dhamana
Wanachama wengine 20 wameachiwa kutoka kituo kikuu cha polisi na kutakiwa kufika kituoni hapo jumatatu
Ntaendelea kuwajuza
Kwa hiyo ina maana walikatwa wanachama 44, 20 wakaachiwa polisi na hao wengine wakapelekwa kwa pilato kwa mashitaka? Kweli hali hii inasikitisha sana.
 
Nimewasiliana na Nanyaro amesema waliokatwa ni 45, mmoja yupo bado polisi. 24 wapo mahakamani na 20 ndiyo hao walioachiwa polisi. Taarifa yake ilikuwa kama haieleweki lakini hali ndivyo ilivyo. Mpaka saizi bado wapo viwanja vya mahakamani.
 
g
Safi sana wakome kabisa kuvunja sheria,wana acha kazi zao na kuleta longo longo mitaani wakome kabisa tena wahukumiwe fasta fasta mbuzi pori hao
Sishangai kuwaita watu mbuzi pori kwa sababu hata OCD Zuberi alisema hivyo na baadae kuruka kimanga eti malezi aliyokulia na wadhifa wake alionao hawezi kuwaita watu panya. Sasa hata wewe kuwaita binadamu wenzako mbuzi pori sishangai inaonekana NDIVYO ULIVYOLELEWA NA WAZAZI WAKO.
 
Duh huo mtaa ndiyo mipango yote ya kusha mawe na kutishia madereva wa daladala ilikuwa ikifanyika hapo.
 
Mtaa wa December walioko kule woote ni wakeretwa wa Chadema jamani! nendeni hata sasa hivi mtaona bendera zoote zinazopepea ni za Chadema hakuna bendera ya Cuf wala Ccm! kwahiyo polis inawauma sana.
polisi wanashinikizwa tu...magamba ndiyo inawauma sana!
 
Uonevu huu una mwisho wake kwa kweli maana jeshi la polisi linatumika vibaya sana na hawa Magamba
 
Hivi kwa viutuko hivi CCM na Polisi wanadhani wanajenga kitu gani ? Itawasaidia nini mwishoni ? Wanaiteka Arusha au ndiyo wana haribu kabisa ?
 
Back
Top Bottom