Mkuu wa Mkoa Arusha tutake radhi wakazi wa Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa Mkoa Arusha tutake radhi wakazi wa Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bi mkora, Nov 2, 2011.

 1. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jana jioni mkuu wa mkoa wa Arusha alifanya kipindi maalumu kaitka Radio Triple A arusha na kusisitiza kuwa wananchi tuwe na amani na kuwa leo hakutakua na mgomo wa daladala. Mkuu huyu wa mkoa wa Arusha hakutupa angalizo lolote kuhusiana na mgomo huu na akatuahidi kuwepo kwa usafiri na amani kwa ujumla chini ya usimamizi wa OCD Zuberi.
  Leo hali imekua tofauti na ahadi za Mkuu wa Mkoa huu wa Arusha alizozitoa jana, Wakazi wa Arusha leo hii tumetaabika kwa kukosa usafiri, wafanyakazi tumechelewa kazini, wanafunzi wamegahiri kwenda shule kwani muda mrefu wameutumia kutembea kwa miguu. Daladala nyingi zimepigwa mawe maeneo ya kwa moromboo, esso,mianzini, sanawari na sehemu kadha wa kadha.
  Amani aliyeihubiri Mkuu wa Mkoa wa Arusha haijafanikiwa kama alivyotuahidi.Uharibifu wa mali hasa daladala na kuchelewa kwa shuhuli za kila siku za Arusha inadhihirisha hii nguvu ya umma inakaribia kuwashinda na kuishia kuwakamata wapiga debe na madereva.
  Mkuu wa Mkoa wa Arusha naomba unitake radhi kwa kunipa ahadi ya uongo jana na kunifanya nipate adhima katika siku yangu.
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Arusha wanaongoza kwa ujinga..

  Sasa mtu mzima unawezaje kupiga daladala ya raia mwenzake kutoa huduma..

  Huo haukuwa mgomo ila shinikizo la kihuni toka kwa watu wajinga..period
   
 3. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,502
  Likes Received: 2,043
  Trophy Points: 280
  alikua anapima..alikua haamini..
   
 4. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Japokuwa Polisi wamejaribu kulazimisha madereva Wa daladala lakini bado daladala chache zilifanya root ila Polisi walitishia amani na makofia yao ila watu walitembea tu kwa amani ila mkuu Wa mkoa alitudanganya.
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Unajua solidarity kwa manufaa ya umma huwa inatafutwa kwa namna yoyote, katika migomo ya Vyuo vikuu wanaojitenga na mgomo hulazimishwa kwa viboko na mwisho wa siku hushiriki mgomo na serikali husikia kilio kimoja na sio cha kusuasua na kwa manufaa ya umma.
  Kuhusu swala la Arusha kuongoza kwa ujinga inadhihirisha political immaturity inakusumbua ila kuhusu migomo/haki/solidarity/nguvu ya umma na mapinduzi kwa ujumla nakushauri uwe na tabia ya kujisomea hasa vitabu vya historia na intelijesia ndo utajua kuwa yanayojiri leo Arusha yameshatokea tangu karne ya 14.
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Ivi huyu mkuu wa mkoa wa Arusha anadhani siasa za maji taka zitanusuru haki kutendeka Arusha??? Jana alikua akiongea zaidi kuhusu uvunjifu wa amani ila hakuthubutu kuzungumzia uvunjifu wa haki.
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huwezi kunilazimisha mwananchi ambaye siafiki na msimamo wako (cdm) na nina biashara yangu ya daladala kuingia kwenye soladarity huo ni ujinga mtupu..

  Political immaturity inayofanywa na wapenzi wa cdm (wengi wao wamehongwa) ni kubwa zaidi kuliko yangu..

  Arusha hatuwezi kulazimishwa kuwa lema kukubali kukaa kwake mahubusu ndio iwe usumbufu kwa wengine

  Afuate nyanyo za wanaharakati kama kina kandhi ambao watu wengi waliwaunga mkono bila kulazimisha kama hii ya Arusha

  Unashiriki kwasababu ya fear huo unafiki mtupu hapo ukombozi
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Pole sana kwa kutumia muda wako kumuelimisha huyu zuzu
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Dogo anajiona yuko juu kwa vile ni mteule wa Rais!...lakini anasahau kuwa mwisho wa siku anaishi na wale anaowazuga, na huyo mkubwa wake akiwa kunako safari zisizoisha.
  Kwa nchi za wengine kosa hilo lilitosha kumfanya aachie ngazi!...all in all, tumeingiza kwenye rekodi kosa hili!

  [​IMG]
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​solidarity forever
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Naona hajagundua hilo!
   
 12. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kumbe jamaa mwenyewe ndio huyu??
   
 13. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Wewe na wao nani mjinga?
   
 14. j

  jigoku JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Ni UJINGA kuijifanya hamwezi kutambua hali ya kisiasa nchini TZinayochochewa na ugumu wa maisha,ukandamizaji wa demokrasia,wizi wa mali za umma,na kila aina ya ufisadi,kuwalazimisha wagome ni swa tena ni nzuri sana,na bado hilo litakuja kivingine,kama wao wanajifanya hawaoni wala haliwahusu ni vema wakawapiga kweli na kuzuia wasitembeze daladala.maana MFUMO ULIOOZA WA CCM ni lazima tuuondoe,sasa ukijifanya haykuhusu utalazimishwa.
   
 15. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  People perish due toack of vission. To see just beyond your nose is dangerous. Mandela had a visssion, Luther had one, NTC had one. Saa ya upupu imekwisha. CCM waache kutumia vyombo vya taifa kwa manufaa binafsi. mtatuletea shida kubwa. Wasikilizeni akina Butiku.
   
 16. Kumbakumba

  Kumbakumba JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukombozi wa nchi hii utaanzia Arusha,no doubt
   
 17. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  The most pathetic thing with Tanzanians is that everyone is wont to squawk and grumble endlessly and nobody seems to be ready to act pragmatically.
   
 18. R

  RMA JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa si uende mahakamani? Hata Libya walikuwepo watu wa namna yako. lakini baada ya ukombozi wameficha unafiki wao na sasa wanashangilia matunda ya ukombozi!
   
 19. T

  Topical JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Libya kuna ukombozi gani wewe...

  Acha ushamba wamekombolewa au wamekombwa..tafakari..tumia akili siyo yale...
   
 20. Bongo Pix Blog

  Bongo Pix Blog JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mohamed Bouaziz alikuwa mjinga fulani pia.
   
Loading...