Bilioni 2 ...Zatumika kuwapeleka Training wanafunz wawili...Kudadadadadadki....Hii Ndo Tanzania

Wakufulia

New Member
Feb 7, 2011
4
0
Hivi kweli ww Kama kiongozi mwenye Mapenzi mema na Nchi yako na Kizazi kijacho Unaweza kufanya Madudu kama hayo kweli...Unapitisha hela ya Mwananchi wa kawaida na Kuibariki kutumika kijinga namna hiyo Kweli.............................
 
Back
Top Bottom