Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mon Nov 7, 2011 12:34pm GMT (Adds details on fiscal tightening plans) * Government agrees fiscal tightening in 2012/13 * Spending not to exceed revenues and grants * Tanzania has faced rising...
0 Reactions
3 Replies
850 Views
Kwa Wakuu wote wa Chadema napenda kuchukua nafasi hii kuwauliza kama kweli mna mpango wa kuchukua madaraka 2015 kila wakati nikiwaza miaka mingine mitano na ccm nakata tamaa,je wakuu mna mpango...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
*Asema serikali yake haijui rasilimali zilizopo *Adai ina mfumo dhaifu kudhibiti fedha za umma *Asisitiza hali ya umaskini inazidi kuongezeka nchini *Ampongeza Dkt. Shein, azungumzia utata wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyeki wa kijiji cha Ngerengere Kata ya Nyamaraga Wialaya ya Tarime, CHACHA GATI amevuliwa uongozi na wananchi wakimtuhumu kutumia vibaya fedha za michango ya maendeleo. Ghati alikuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF kuna rafiki yangu ametoka hapa Arusha yuko Kenya kuhudhuria kongamano la wahasibu Afrika. Jamaa ananiambia ilikuwa Rais Mwai Kibaki afungue kongamano lao pale KICC mida ya saa tano...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Written by Hassan10 // 07/11/2011 // Habari // 1 Comment Makamu Mwenyekiti wa Cuf taifa, Machano Khamis Ali Saturday, 05 November 2011 20:42Claud Mshana CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo nimeharibu siku yangu nimepita maeneo ya Hazina pale nikamsikia Afisa mmoja akizungumza na mwenzake kwa uchungu sana. Vitu muhimu nilivyo vi-note ni kama ifuatavyo. 1. Kila wizara...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni jambo la ajabu na la kushangaza serikali kushindwa kulipa wafanyakazi wake mpaka kufikia kukopa bank za ndani,utendaji wa sasa wa serikali kushindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato na matumiz...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanafunzi wapya wa mwaka wa kwanza 1 st degree na postgraduate candidates wa CDM wamekaribishwa rasmi leo katika tawi la UDOM Chadema, tayari kwa kazi ya Ukombozi. Vivaaaaaaaa. Chadema mpaka...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Wana JF, Mtazamo wangu upo sawa na Warioba kuwa deni la Dowanskuwa lipo kisheria na haliepukiki. Mi nadhani hapa ni kutumia maandamano kuilazimisha serikali kuwataja watu wote waliohusika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani kati ya mambo matatu ambayo Chama cha CONSERVATIVE cha uingereza ambacho ni mshirika mkubwa wa CHADEMA kinacho ni UDINI, UKABILA NA USHOGA. Lakini CHADEMA wao wamekuwa wakilalamikiwa kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauliza hivi maana alitwambia kuwa TUKITAKA KULA LAZIMA TULIWE. Je alikuwa ana maanisha nini? Maana sasa Waingereza wamesema mpake tulane ndio tupate misaada. Lakini cha ajabu M'kwere kakaa kimya...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Kama alivokuja Prince Charles, Prince Waleed bin Talal naye yuko Tanzania kwa ziara siku moja: Presdent Jakaya Kikwete and his guest HRH Prince Alwaleed Bin Talal Bin Abdulaziz Alsaud, Chairman...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Ushindi kilioupata chama cha Democrasia na maendeleo na mgombea wake wa Urais katika uchaguzi mkuu wa Mwaka Jana sio jambo dogo kwao na kwa wananchi pia. Hivyo ninaomba kujua ni lini DR ataanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa jimbo la Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuongoza nchi kwa sababu kimeshindwa kutambua kiwango cha rasilimali ambazo nchi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jeshi la Tanzania limesema limewakamata wanajeshi 20 waliokuwa wamejihami vikali kutoka nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Msemaji wa jeshi la Tanzania katika mji wa Magharibi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajeshi wa DRC wenye silaha waingia Kigoma Sunday, 06 November 2011 20:14 Anthony Kayanda, Kigoma KIKUNDI cha askari wa Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya kongo Congo DRC wakiwa na silaha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kumekuwepo mgogoro baina ya uongozi wa chadema wilaya ya kahama mkoani shinyanga kati ya madiwani wenyewe kwa wenyewe na uongozi wa wilaya cdm kutoelewana. Hali hiyo imepelekea kuwa changanya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wananchi wenzangu pasipo kujali itikadi za vyama tuwe wamoja na kuunga mkono serikali iliyopo madarakani, tufanye maandalizi ya nguvu katika kuelekea tarehe 9, Disemba 2011. Wana CDM tuwe mstari...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa nilizopata ni kwamba dakika chache zijazo mwenyekiti wa chadema mheshimiwa freeman mbowe atamtembelea mbunge wa arusha mhe godbless lema huko gerezani kisongo
1 Reactions
180 Replies
17K Views
Back
Top Bottom