Prince Waleed bin Talal awasili Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prince Waleed bin Talal awasili Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, Nov 6, 2011.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama alivokuja Prince Charles, Prince Waleed bin Talal naye yuko Tanzania kwa ziara siku moja:
  [​IMG]

  Presdent Jakaya Kikwete and his guest HRH Prince Alwaleed Bin Talal Bin Abdulaziz Alsaud, Chairman of Kingdom Holding Company (KHC), and their wives listen to the Chairman of Board of Directors of the Wanawake na Maendeleo (WAMA) organisation, Dr Ramadhani Dau, as he thanks HRH Prince Alwaleed for his pledge to help WAMA in the organisation's efforts to developing Nakayama Girl's High School in Rufiji, Coast region  DG naona anawasemesha kama wanafunzi wake vile...tazama walivyojipanga....

  Tazama wanavyomsikiliza kwa makini utafkiri wanataka kupewa ripoti ya maendeleo hehehehehe
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  hawa maprince wanatafuta nini hapa kwetu. tuwe macho na wanyama wetu
   
 3. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,757
  Likes Received: 6,055
  Trophy Points: 280
  Mh! Huyo mke wa Prince alivyovaa! Jamani, isije kuwa huku uswahilini tunadanganywa na hao waliotuletea imani zao? Huyu si alitakiwa awe mfano bora? Sasa nimeamini kila jambo pima mwenyewe na changanya na zako vinginevyo wengine tutaishia kufia dini wakati wenyewe wanatumbua kwa raha zao!
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  jamani tukae chonjo.hawa wageni hawajaja kwa mema.wameona tanzania imekua pango la walanguzi na wanyang'anyi.utasikia rais kawagawia ardhi na wanyama waje wawinde wakati wazawa tunabaniwa hata kitoweo.mia
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  amekuja kukabidhi hoteli yake ya Movenpick aliyomuuzia Aga khan................ dili limeshakamilika na siku yoyote jina la Movenpick litaondoka na jina la Serena litachukua nafasi..................
   
 6. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  na madini pia
   
 7. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  thats true man....mia
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,294
  Likes Received: 22,075
  Trophy Points: 280
  mashoga wa Kiingereza na Kiarabu kutinga nchini kwa mualiko wa RAIS
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ridhiwani yuko wapi hapo? Protokali haijazingatiwa
   
 10. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hiyo sketi ya mama Jakaya nimeipenda-
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  This is very interesting! I hope tunajua tunachofanya na hawa princes.
  Ila Dau zile pete vidoleni ndo zinamaanisha nini? Idadi ya wake aliooa?
   
 12. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #12
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Vipi kaja na visuti vingine? Naona mkuu wa kaya katinga kamojawapo ya vile visuti vya mwarabu!
   
 13. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #13
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Prince wa kiarabu na Prince wa kiingereza si basha na shoga!!!!!
   
 14. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #14
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu sio kila mwarabu mwislamu,na sio kila muislamu muumini wa kweli.huyu prince walid ni msaudi lkn hayupo kwenye serikali na nimfanya biashara.naona ni tajiri wa 15 duniani.jamaa anaitwa mwislamu poa.yaani mwislamu jina.
   
 15. K

  Kasesela Member

  #15
  Nov 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kingdom Holding ndiyo mmiliki wa hoteli inayojulikana kama Movernpick; Movernpick wenywenye ni kampuni ya Ki-Swiss inayoendesha tu Hotel.
   
 16. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #16
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,757
  Likes Received: 6,055
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimekusoma vizuri. Unless anatumia "Prince" kama sehemu ya jina lake ila kama ni "cheo/heshima" basi pamoja na kwamba ni mfanya biashara lakini kwa vyovyote atakuwa ametokana na ukoo wa kifalme wa Saudia. Nijuavyo mimi ukoo wa Kifalme wa Saudia unadhaniwa kuwa katika mtiririko wa kizazi cha Mtume na hivyo kuwa mfano bora wa maisha na mafundisho ya kiislamu ikiwemo mavazi kwa wanawake.
   
 17. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #17
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu subiri nikupe historia fupi. mtume ni wa makkah na eneo la warabu wa hijaz ambae ni west na north kidogo ya saudia ya leo.kabila la wasaudi ni wa riyadh yaani warabu wa katikati ya saudia,riyadh ulikuwa ni mji mdogo wa mabedui.riyadh wana damu sana ya kiyemen,wayemen wengi walipotoroka yemen sababu za mafuriko wakaenda kaskazini na kuanzisha huo mji.inasemekana walikuwa wayemen wa kiyahudi kutoka na wao kukosa dola yao ya kiyahudi yemen kwa muda ule.

  kabila la wasaudi halina unasaba na kabila la mtume kabisa usipokuwa kwa damu ya yemen.

  ismail (chotara wa kiyahudi na misri) babu wa mtume alio myemen na kuzaa kizazi cha quraish,na kutengeza mji wa makkah lkn hawana uhusiano wowote na mtume.

  hope umenipata.
   
 18. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #18
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Maelezo yako mazuri isipokuwa hapo kwenye red kumeondoa ladha nzima ya maelezo yako "inasemekana"

   
 19. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #19
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizi ni story zinazo sambaa kwa oral.na kama unavojua kwakisomi huwezi kuweke kitu 100 kwa hakija fanyiwa uchunguzi wa nguvu.huwezi kwanza kuenda riyadha na kuanza kupima watu damu na tena kwenda yemen kupima damu uone wanaundugu au vp.

  nitafuta hadithi moja inaoesha wazi kizazi cha warabu kwa asilimia kubwa ni wayemen wote.hakuna mwarabu kwenye kisiwa cha warabu ambaye hana damu ya yemen. sio warabu feki wa misri au libya algeria tunisia.
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hawa ma-prince wanafuata nini huku?
   
Loading...