Mwai Kibaki Kiboko Awaacha Solemba Wahasibu KICC

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,941
9,947
Wana JF kuna rafiki yangu ametoka hapa Arusha yuko Kenya kuhudhuria kongamano la wahasibu Afrika. Jamaa ananiambia ilikuwa Rais Mwai Kibaki afungue kongamano lao pale KICC mida ya saa tano. Wajumbe wameingia ukjmbini kuanzia saa tatu lakini Kibaki anaingia saa saba na nusu akiwa amechelewa kwa masaa matatu! Mkutano hio ni wa kimataifa watu wamemsubiri hadi wamechoka. Hivi viongozi wa Afrika ndivyo walivyo? Jamaa anasema wandaaji wamechanganyikiwa hawajui la kufanya?
 
Ndiyo matatizo yetu hayo waafrika ya kualika Rais kila mkutano utafikiri alichaguliwa kufungua mikutano!!! Wangeuleta huku Bongo kama walitaka Rais afungue............ maana wa kwetu asingeweza kumiss such opportunity!!
 
Inawezekana kulikuwa na matatizo ambayo yalimfanya achelewe
 
Wana JF kuna rafiki yangu ametoka hapa Arusha yuko Kenya kuhudhuria kongamano la wahasibu Afrika. Jamaa ananiambia ilikuwa Rais Mwai Kibaki afungue kongamano lao pale KICC mida ya saa tano. Wajumbe wameingia ukjmbini kuanzia saa tatu lakini Kibaki anaingia saa saba na nusu akiwa amechelewa kwa masaa matatu! Mkutano hio ni wa kimataifa watu wamemsubiri hadi wamechoka. Hivi viongozi wa Afrika ndivyo walivyo? Jamaa anasema wandaaji wamechanganyikiwa hawajui la kufanya?

Kichwa cha habari haviendani na maelezo
 
Inawezekana kulikuwa na matatizo ambayo yalimfanya achelewe

Nasikia Kibaki amefika saa nane kasorobo akatumia dkk 11 na kuondoka. Labda ni matatizo ya alshabab hayo lazima inteligensia ifanye timing na kuwapoteza malengo watu wenye nia mbaya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom