Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya Dr Kafumu kuapishwa rasmi bungeni hivi leo.,Chama cha CCM kimemuandalia sherehe fupi ya kumpongeza na kumkaribisha rasmi akiwa kama mbunge mpya kupitia chama iko kutoka katika Jimbo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Juzi zimetokea fujo na vurugu za kidini mwanza. Wameshikiliwa watu kadhaa kwa fujo hizo. Cha ajabu watu hao wakaachiwa baada ya mazungumzo baina ya kamati ulinzi na usalama na BAKWATA Mwanza...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
taarifa kwa vyombo vya habari na umma wote wa watanzania tamko la chadema wilaya ya geita juu ya unyanyaswaji wa haki ya kidemokrasia anayofanyiwa mh.godbless lema (mb) na wanachadema wote wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Yanayotokea Arusha yakiongozwa na CDM na kwingineko Tanzania nadhani kuna haja ya kutafakari kwa kina kisha tupate suluhu na kisha tufanye vitendo sasa.Ni miaka mingi sasa kumekuwa na vita dhidi...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
in arusha CDM have retreated not surrendered
0 Reactions
1 Replies
1K Views
katika hali isiyokuwa ya kawaida leo katika ofisi za mbunge wa jimbo hili kwa tiketi ya ccm mh Masele amepokea samasi ya kuitwa mahakama kwa ajili ya matokeo ya ubunge. hali imetokea baada ya...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimeona Nnauye Jr amelala, sasa nimeamua nifikirie kama magamba kwa uamuzi wa kuvalisha askari uniform za ccm ili waje kuanzisha vurugu. Kikao kinaendelea nawajuza kila nipatapo nafasi niko nao...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni jambo la ajabu na la kushangaza serikali kushindwa kulipa wafanyakazi wake mpaka kufikia kukopa bank za ndani,utendaji wa sasa wa serikali kushindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato na matumiz...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
The Libyan leader was no saint. But the West was wrong to intervene in African affairs.BY YOWERI MUSEVENI | MARCH 24, 2011 By the time Col. Muammar al-Qaddafi came to power in 1969, I was a...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajanvi, Nimetokea mahakamani arusha ambapo maabusu walioletwa kusikiliza mwendelezo wa kesi zao wamekataa kushuka kwenye karandinga. Wamesema wanafanya hivyo kupinga uonevu unaofanywa dhidi ya...
7 Reactions
244 Replies
22K Views
Wengi tunajua yanayoendelea Arusha ambapo viongozi wakuu wa Chadema akiwemo Kiongozi wa Kambi ya upinzani yuko uwanja wa NMC hadi siku Mb wa Arusha mjini Mh. Lema atakapotoka rumande. Je itakuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu kuna haya makampuni ya utalii ya kigeni kule arusha, haya makampuni yanafanya usanii wa kufa mtu, 1. Hayana akaunt za mapato huku Tanzania, kuna akaunt za matumizi tu. 1. Booking zote na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mon, Nov 7th, 2011 Mon, Nov 7th, 2011| Tanzania Tanzanian Bunge (Parliament) in Dodoma The fifth meeting of the National Assembly starts today in Dodoma with the much awaited Constitutional...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wadau leo mjengoni(bungeni) kwaanza hapa Tindu Lissu, Mnyika, Mdee, Sugu, Wenje n.k yani full mapambano yanaendelea
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Prince Charles and Camilla, Duchess of Cornwall's royal tour of Tanzania The Prince of Wales and Duchess of Cornwall had a "Blue Peter moment" in Tanzania, as they raced each other to make...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna habari nimeisikia hapa Clouds kwamba polisi wanawapiga mafundi garage risasi kuwataka wahame ndugumbi, kuna usalama huko?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepokea SMS hii hivi punde “ Wazalendo wenzetu wanakesha NMC kudai haki, tujiunge nao kwa kumtaka Rais Kikwete 0754777777/0754777775 na Spika Makinda 0754/0784465226: Lema aachiwe, uchaguzi wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndg. Hashim Rungwe Na Alfred Lucas – Imechapwa 19 October 2011 HASHIM Spunda Rungwe hajachuja kwa tambo. Anatamba bado angali na maarifa ya uongozi adilifu. Akiwa ni mwana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni jambo lililo wazi kuwa kuna chuki kubwa inayoendelea kuenezwa kuhusu chama cha mapinduzi. Hata pale ambapo chama kimeshinda uchaguzi wako wanaobeza na kusema hakikushinda kwa kupendwa bali ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mitaji na Maendeleo ya kijamii Bw, Robert S. Shumake yenye Makao Makuu yake jimbo Michigan...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom