Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
Nauliza hivi maana alitwambia kuwa TUKITAKA KULA LAZIMA TULIWE. Je alikuwa ana maanisha nini? Maana sasa Waingereza wamesema mpake tulane ndio tupate misaada. Lakini cha ajabu M'kwere kakaa kimya hataki kutoa tamko. Na jumatano anakuja Mtawala wa hao wanaotulazimisha Tuwasujudie mashoga.