Makamada wapya wa CHADEMA wapokelewa katika tawi la UDOM

marx

Member
May 2, 2011
69
14
Wanafunzi wapya wa mwaka wa kwanza 1 st degree na postgraduate candidates wa CDM wamekaribishwa rasmi leo katika tawi la UDOM Chadema, tayari kwa kazi ya Ukombozi. Vivaaaaaaaa. Chadema mpaka kieleweke.
 
Ongereeeni saaana Vijana kazeni buti
Badala ya kuwashauri wakaze buti katika masomo yao ili waje kuwa na maisha yao, unawashauri wakaze buti kushabikia wanasiasa wanaonufaisha matumbo yao. Kweli mpo mnaotumia masaburi badala ya ya kichwa.
 
Hawa ni Watu wazima. Kuwashauri kuhusu shule ni sawa na kumshauri mtu ale chakula. Acha Ushamba wewe. Hata sisi wengine tumepitia huko huko na tulikuwa Wanaharakati na tumetoka na degree zetu safi.
 
sasa mtoto wa 1st year aanze kushabikia siasa ..... atafika mbali kweli ... siasa ni dirty game ... mi na washauri wapige kitabu uchaguzi ukifika wafanye maamuzi sahihi
 
Badala ya kuwashauri wakaze buti katika masomo yao ili waje kuwa na maisha yao, unawashauri wakaze buti kushabikia wanasiasa wanaonufaisha matumbo yao. Kweli mpo mnaotumia masaburi badala ya ya kichwa.

una mawazo kama ya ccm!
 
Ki ukweli CCM inaogopa vijana hasa wasomi sababu walifikiri UDOM itakuwa ngome yao ya kuwateka vijana, lakinI kumbe UDOM sasa ni kama waasi wa Bhengazi wapigania haki na uhuru.

Na ndio maana kila siku zengwe huwa zinaundwa kwa watu waliokuwa wanajulikana kama nguvu ya umma na hata wale waliosimamishwa kutokana na mgomo wengi wao ni wafuasi wa chadema ambao wengine wanakaa off compus na hata hawakuhusika hata chembe.

Lakin cha kujiuliza kama siasa zinakatazwa vyuoni mbona unapo ingia chimwaga unakuta bango la ccm. Mbona nape alikuwa anakuja tena mpaka hostel sasa anakuja kufanya nn wakati yy sio kiongoz wa serikali.?
 
sasa mtoto wa 1st year aanze kushabikia siasa ..... atafika mbali kweli ... siasa ni dirty game ... mi na washauri wapige kitabu uchaguzi ukifika wafanye maamuzi sahihi

Acha dharau ww 1st yr sio mtoto wengine tuna familia zetu hapa shika adabu yako.
 
wote tumewamark wataungana na kina mwakibinga muda si mrefu

Ndo kaz yenu mliyotumwa kupeleka vi memo kwa kikula. Anyway haki itapatikana tu braaa.... Mpaka sasa mwakibinga ni shujaa. Na hizo njaa zenu watawavua tu ch**pi kule utawala mpya mnako jipendekeza.
 
Badala ya kuwashauri wakaze buti katika masomo yao ili waje kuwa na maisha yao, unawashauri wakaze buti kushabikia wanasiasa wanaonufaisha matumbo yao. Kweli mpo mnaotumia masaburi badala ya ya kichwa.
Chuo kikuu si mahala pa kujifunza tu yale yaliyoandaliwa kwenye mtaala.
Chuo kikuu ni mahala ambapo watu wanapata fursa ya kusoma na kujadili mustakabali wa jamii na taifa lao.
Hapo juu penye nyekundu naona dhana yako kuhusu wajibu wa wasomi wa vyuo vikuu ni dhaifu sana.
 
sasa mtoto wa 1st year aanze kushabikia siasa ..... atafika mbali kweli ... siasa ni dirty game ... mi na washauri wapige kitabu uchaguzi ukifika wafanye maamuzi sahihi

Nani kakwambia siasa ni dirty game. Read and see what Gandhi, Mandela and Luther did. Was it a dirty game?
 
Badala ya kuwashauri wakaze buti katika masomo yao ili waje kuwa na maisha yao, unawashauri wakaze buti kushabikia wanasiasa wanaonufaisha matumbo yao. Kweli mpo mnaotumia masaburi badala ya ya kichwa.
Mkuu hapo umepotoka, hivi ni kweli mtu mpaka anakwenda chuo kikuu bado atakuwa mjinga kiasi cha kukumbuswha wajibu wake? Hii ilikuwa zama za long time sana watu wanasomeshwa na vijiji nya ujamaa. Wakati sisi tunaingia first year tulikuwa na watu wazima kibao na mmoja alikuwa mfanya biashara maarufu mwenye utajiri mwingi tu sasa sijui huyu utamshauri nini maana maisha anyajua vizuri na amekuja kuongeza ufaha tu binafsi
 
Back
Top Bottom