hivi hizi kodi ambazo zinatumika kwenye hayo matamasha zinatija kwa taifa?tungeehamua kuzielekeza kwenye matatizo yetu ya msingi zisingesaidia?
Itatuchukua muda sasa kufikia malengo kwa matumizi...
Nimetembelea eneo la madini ya chuma Liganga Mundindi Ludewa, Kunakampuni inacholonga miamba yenye madini na kuchukua sample sasa ni takribani miezi kadhaa imepita.Ninacho jiuliza muda wote huu...
Je hii ni halali kwa makamishna wawili kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, pamoja na Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha na Ofisa Upelelezi wa Mkoa wa Arusha...
Tumeshuhudia kila kukicha kunakuwepo malumbano kwenye vyombo vya habari hasa ndandani ya CCM malumbano ya kubomoana,kuchafuana lakini ukiangalia kwa umakini kwa viongozi wa CCM,makada wote wana...
Habari za mida hii wana jf
mda huu nipo iringa hapa samora tunaadhimisha miaka 50 ya uhuru wa tanganyika huku umeme ukiwa ni wa mgao hata hapa uwanjani ambako mwenge wa uhuru unategemea muda si...
Waziri ataka wanafunzi waandamane kuwadai wenzao waliokopa walipe
Send to a friend
Sunday, 06 November 2011 20:11
0diggsdigg
Peter Saramba, Arusha
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya...
Serikali yanuka uozo
Wateule wa JK wachafuka
na Mwandishi wetu
Tanzania Daima
KUBAINIKA kwa tuhuma nzito za ufisadi na uporaji wa mabilioni ya fedha kumefichua uozo mkubwa...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilson Mukama, amesema yeye ni sawa na mtu aliyeteuliwa kufanya kazi ya kunyonga mkosaji aliyehukumiwa adhabu hiyo na Mahakama, hivyo hawezi kuogopa...
Ulimwengu decries Tanzania dependency on foreign aid and urgues that if homosexuality is unfrican so is dependency on another man to feed and cloth your children and wife. Rejecting one means...
Jana shirika la ndege la Kenya limetangaza kupata faida ya katikati ya mwaka ya Kshs 2.8 billion (sijui ni sawa na Tshs ngapi) ikiwa ni Gross Profit.
Source: Citizen TV ya Kenya.
Naweza kusema...
Ndungu zangu wa Tanzania: leo nimetoka kumuona kamanda Godbless lema kwenye magereza kuu ya Arusha. ujumbe wake kwenu, msikate tamaa tunganishe nguvu kwa pamoja na tusimamie kile tunachokiamini...
Nimesoma habari ya Utoah akiongea na waandishi wa habari na kusema ni vyama vitano tu ndo vimewakilisha mahesabu ya uchaguzi, nanukuu
"......Ripoti hiyo inaonyesha kuwa vyama vingi vya siasa...
6th November 2011
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia
HalmashauriI Kuu(NEC) ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imempa Mwenyekiti wake, James Mbatia, siku 21...
Watanzania pamoja na kuwa na mapambano na ufisadi ni lazima tuwe wa wazi na watu wenye kufuata sheria kama tuntaka maendeleo ya nchi yetu. Mimi sielewi hili swala kwa kina sana lakini kama mambo...
Tayari serikali ya ccm iko mahututi. Ni ufisadi umewafikisha hapo walipo kiasi kwamba hawana hoja za kuwadanganya wananchi kuhusu ugumu wa maisha. Wananchi wanaelewa kinachoendelea. Lakini...
Akiongea katika mkutano wa kufungua mpango mkakati wa TARJA, Jaji Warioba ameongea maneno yanayokanganya na kutilia shaka uweledi wake pale alipo sema haoini shida na sababu za kwanini tusiwalipe...
Leo Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA kamanda Mbowe,akiambatana na viongozi wa mkoa na wilaya alimemtembelea Lema selo,na kuafikiana kutoka jumatatu,baada ya kutoka tutafanya mkutano mkubwa sana...
toka watoe masharti kwa nchi zote ambazo ni wanachama wa jumuiya ya madola juu ya ushoga nilitegemea viongozi wa chadema watakemea kauli ile ya cameroon lakini mpaka leo wamekaa kimya je ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.