Serikali yakopa crdb kulipa wafanyakazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yakopa crdb kulipa wafanyakazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by naninibaraka, Nov 7, 2011.

 1. naninibaraka

  naninibaraka JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 658
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Ni jambo la ajabu na la kushangaza serikali kushindwa kulipa wafanyakazi wake mpaka kufikia kukopa bank za ndani,utendaji wa sasa wa serikali kushindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato na matumiz mabaya ya serikali ndo uliopelekea ghali kuwa hivi,miradi mingi ya barabara imesimama pia,uchumi umedora,mfumuko wa bei uko juu,serikali ipunguze gharama za anasa kama safari za nje za viongozi wetu,ununuzi wa magari ya kifahari!nchi imefilisika...
  Nawasilisha
   
 2. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kama uchaguzi mdogo tu wa Igunga uligharimu zaidi ya billion 3 nyingi zikiwa ni za kuhonga unategemea nini? The rulling party is investing huge to retain it's unretainable image. Why using so much tax payers money in politics. Is politics investments, does it have multiplier effect? You know what, poor Tanzania will pay election debt till next election where the rulling party willl invest even more poor tax payers money!!! This is poor politics vicious cycle. Let us unite to break the cycle, you and me! How? Let us share constructive ideas. Tired, very tired!!
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ukiona mtu kafikia mpaka kuanza kukopa ujue hali ni mbaya na siku sio nyingi kila kitu kitakuwa wazi,tunaweza kuja shangazwa kuambiwa hakuna hata senti BOT
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli
   
Loading...