Watanzania tujipongeze kwa kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa tanganyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tujipongeze kwa kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa tanganyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, Nov 7, 2011.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wananchi wenzangu pasipo kujali itikadi za vyama tuwe wamoja na kuunga mkono serikali iliyopo madarakani, tufanye maandalizi ya nguvu katika kuelekea tarehe 9, Disemba 2011. Wana CDM tuwe mstari wa mbele kusherekea miaka 50 ya uhuru, tuandae magwanda yetu tuende tukalale uwanja wa UHURU tarehe 8, Disemba 2011. CDM tumefaidika na uhuru wa nchi hii kupitia uongozi imara wa CCM ambao unapatia ruzuku kila mwezi ambayo inatuwezesha kumlipa milioni 12 za kitanzania kila mwezi Dr. Slaa pasipo kukatwa kodi. HIMA, HIMA, CDM twendeni kushiriki sherehe za uhuru miaka 50!!!!
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,088
  Trophy Points: 280
  Kama usingetumia kiswahili ningelihisi ww ni mcongo,unataka watu wasiwe na itikadi wakati ww mwenyewe uko kiitikadi

  Tanganyika ipi isiyo exist?uhuru gani usiyoleta maendeleo ama umesahau kuwa tunaupima uhuru kwa maendeleo freedom and development are insperable dimesions
   
 3. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Labda hauna macho ama wajifanya kipofu na kutoona maendeleo yaliyofikiwa.

  Kwa ufupi sana tu:

  1. Elimu; idadi ya shule na vyuo kuongezeka
  2. Idadi ya barabara zenye lami kuongezeka
   
 4. baina

  baina JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wizi nao umeongezeka
   
Loading...