Kada wa chadema avuliwa uongozi kwa ubadhilifu wa mali ya umma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kada wa chadema avuliwa uongozi kwa ubadhilifu wa mali ya umma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Nov 7, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mwenyeki wa kijiji cha Ngerengere Kata ya Nyamaraga Wialaya ya Tarime, CHACHA GATI amevuliwa uongozi na wananchi wakimtuhumu kutumia vibaya fedha za michango ya maendeleo. Ghati alikuwa akishikilia wadhifa huo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
   
 2. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Hii imekaa vizuri kabisa, bila kujali chama kama ni mbadhirifu wa mali za Umma basi hao jamaa wamefanya vema.....

  kazi kubwa ni kuyang'oa haya majambazi wabadhirifu XXXL
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Hongera sana wanainchi
   
 4. j

  jigoku JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Tunachotaka ni hicho,kama mtu aliomba uongozi na huku akiongozwa na roho wa ufisadi na ubadhilifu suluhu ni ku mfukuzilia mbali haraka,hakuna cha kusubiri siku tisini,mara kikao gani NOOO!kama anabugia fedha za umma fukulzilia mbali ikidi vua na uanachama na mmuonyeshe ofisi za CCM zinzzokubali mabo hayo.Hongera sana kwa kitendo cha kufukuza hilio jizi la mali fedha za umma.
   
Loading...