Kafulila: CCM imeshindwa kuongoza nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kafulila: CCM imeshindwa kuongoza nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BONGE BONGE, Nov 7, 2011.

 1. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa jimbo la Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kuongoza nchi kwa sababu kimeshindwa kutambua kiwango cha rasilimali ambazo nchi inamiliki;
  Source: Tanzania Daima
  My take: Karne ya 18, karne tatu zimepita, ni miaka mingi, takribani 300 hivi tangu Chief, yulee wa watu wa Msovero, Mangungo auze kipande cha ardhi kwa wakoloni kwa kubadilishana na shanga. Ni muda mrefu, wengi wamekufa, lakini Taifa bado. Hii ni karne ya 21, Mkuu wa kaya anatuhumiwa "kupewa zawadi ya suti" (Mwanahalisi toleo la 258 uk. 2) na kutoa kazi ya Albwardy chini ya saa 12 tangu atoe maombi; Katika karne hii ya 21, karne iliyojaa wasomi, lakini kama taifa matendo yetu yanafanana na yaleeee, yale ya karne ya 18 ya Chief Mangungo, huku tukisherehekea miaka 50 ya uhuru, kwa uthubutu ule ule wa akina Mangungo, Tutafika?
   
 2. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nasi tunalijua hilo mpendwa
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,990
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Ni wazi kabisa.
   
 4. the grate

  the grate JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  me naona ni muda wa kufanya mabadiliko ccm nchi imewashnda
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180

  Kwani ****** si ndo Mangungo wa karne ya 21 mbona hiyo iko wazi sana. Mi sijui ubongo wa jamaa una ukubwa gani wakuu!
   
 6. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  12.03cc
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Eti Kafulila anasemaje ? Suti imekuwaje ? Heeee mnasema ?
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  na baaado hadi tulie machozi ya damu na kusaga meno
   
 9. W

  Wababa Senior Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja cdm ichukue kaya hii, mmoja baada ya mwingine watatueleza utajiri wa nchi mbona hauonekani
   
 10. L

  Lua JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  so! nini suluhisho?
   
 11. j

  jigoku JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hakuna kiongozi ndani ya CCM anaeweza kubadili mfumo wa siasa za kifisadi na rushwa wakati wa mchakato wa kutafuta vioingozi wa kuchaguliwa,hakuna kiongozi ndani ya CCM anaeweza kubadili mfumo wa siasa za ukandamizaji na ubakaji wa haki,hakuna kiongozi ndani ya CCM anaeweza kuthubutu kuwashitaki wezi wote wa mali ya umma,kwa mashitaka ya kweli ambayo si ya kiini macho,kama ambavyo imewahi kutokea.mfumo wote umeoza na ndio maana kamati za bunge kila kukicha zinaibua kashfa nzito za ubadhilifu wa fedha za umma,hii inafanywa na kila aliekwenye kitengo kwa kujua nani atakaemkomalia wakati wote wako hivyo?ukiyasema ya mwenzio naye atasema ya kwake.
  Siasa za CCM ni za kujipendekeza,ni za kinafiki na sasa zinaongozwa na roho wa ufisadi wa kila aina,ulafi anasa,ukatili,majigambo na yote hayo yanabebwa na laana ya miaka 50 ya huru wa kufanya ufisadi na wizi wa mali ya umma.Naunga mkono kabisa hoja ya Mh Kafulila ya kuwa CCM imewashinda nchi.hakuna kiongozi ndani ya CCM anaeweza kuinusuru nchi hii.labda awe nje ya mfumo uliokwisha kuoza muda mrefu sasa.
  Solution:NI kuhakikisha CCM inaondoka madarakani kwa njia ya kura,na kwa kuwa huwa hawakubali kushindwa na mfano ni Jimbo la Arusha basi silaha kubwa ya ving'ang'anizi ni NGUVU YA UMMA.
  Tuikomboe nchi yetu kwa kuukubali ukweli na kutafakari tulipo na tulichonacho kama taifa.
   
 12. f

  firehim Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenena. Utekelezaji sasa !
   
 13. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM ilishashindwa kuongoza nchi siku nyingi sana, USALAMA wa Taifa ndiyo wanatuzengua.
   
 14. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Yan ttz ni sisi kukubali kufanyiwa haya sio wao kuuza nchi
   
Loading...