Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

na Lucy Ngowi WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema kuwa, muda mfupi kuanzia sasa, kutakuwa na mabalozi vijana ambao wataiwakilisha Tanzania katika...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Claud Mshana CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema matatizo ya kiuchumi yanayoikabili Serikali yatamalizwa kwa kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa. CUF imesema Serikali ya Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Saturday, 05 November 2011 21:01 Mwenyekiti wa CCM taifa, Rais Jakaya Kikwete SITTA, NAPE WASUBIRI HURUMA YAKE Na Waandishi wetu BUNDI mharibifu anazidi kuinyemelea CCM hali inayotishia...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nilikuwa nasikiliza redio moja ya hapa jijini mchana huu na kati ya mambo yaliyojiri ni utambulisho wa Balozi mmoja mgeni wa Uingereza ambaye nchi yake ilimteua ili aje awe Balozi hapa kwetu...
5 Reactions
55 Replies
6K Views
Tanzania nchi yenye kila rasilmali tunatimiza miaka 50 hatuna umeme kila mahali kelele na moshi wa genset za kichina! Hatuna maji ya bomba kila mahali mikokoteni ya madumu ya maji na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Polisi wamepiga simu kwa viongozi wa Chadema Ubungo kuzuia mkutano wa hadhara wa mbunge wa kueleza kazi za mbunge kwa mwaka mmoja pamoja na kupokea maoni ya wananchi kuhusu muswada wa katiba mpya...
5 Reactions
94 Replies
8K Views
Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA Igunga alitumia dakika 20 katika moja ya kampeni zake nilizohudhuria kueleza kuwa CUF ni CCM-B. Kwa muda wote huo nilikuwa nasubiri kusikia jinsi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
China has a problem -- its population does not match its resources and gross domestic product. China's more than 1.3 billion people don't have the resources to adequately care for themselves...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nape Nnauye ametua ktk studio za sauti ya Amerika(V.O.A) na kuzungumzia hali ya siasa ndani ya CCM. Akiwa ameulizwa maswali ya mtego na uchokozi na mwandishi wa V.O.A Mary Mdoe kuhusu CCM...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Siku moja nilisikia Rijamaa Rimoja Rinasema , "VITA NI VITA MURA", sikujua huyu jamaa alikuwa na maana gani?. Kumbe vita ya maneno ndiyo mbaya kuliko hata ile ya kushika SILAHA. Nadhani hii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KWA Mheshimiwa sana, Mkuu wa Wilaya (DC) ya Tarime, John Henjewele; Salaam. Baada ya salamu hizi, napenda kukujulisha kwamba mimi na familia yangu hatujambo huku kwetu Tungi – Kigamboni jijini Dar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimetokea magereza kuu ya mkoa wa Arusha, Kisongo ambako nilikwenda na mke wa Lema na watoto wake. Watoto wake wawili Allbless na Brilliant hawakuruhusiwa kumuona baba yao na wamelia kwa uchungu...
40 Reactions
188 Replies
18K Views
Namuulzia katibu mkuu mstaafu wa ccm{yusufu makamba}yuko pande gani na anajishughulisha na nin?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais Kikwete amjulia hali Msaanii ''mwenzake'' Vengu wa Zekomedy. Hivi kweli siku zooooote alizokaa ikulu hadi asikie msanii mwenzake anaumwa ndio aende hospitalini!!!! Kuna...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
President Jakaya Kikwete There are indications that the ruling party Chama Cha Mapinduzi's concept to clean-up all its ranks by uprooting leaders accused of corruption, looks to face a fresh...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sun, Nov 6th, 2011 Sun, Nov 6th, 2011 | Tanzania Mwalimu Julius Kambarange Nyerere When Mwalimu Nyerere addressed attendants at the President's Forum in Claremonton California in early 1999...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanaJamvi Jana niliongea na afisa mmoja wa ngazi ya juu wa polisi hapa Arusha,katika mazungumzo yetu afisa huyu alikiri kuwa bado polisi inaendelea kumtafuta Nanyaro ambaye ni Mwenyekiti wa...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Katika jambo ambalo Serikali ya Tanzania imepaza sauti na Kuungana na Nchi nyingine kama Ghana,Malawi na Uganda ni Kusema hapana kwenye suala la Ushoga dhidi ya David Cameron Waziri Mkuu wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika mtaa mmoja mjini Bukoba nimekuta mabishano ya nani anaweza kuhimili vishindo vya uchaguzi ujao(Ubunge Bukoba Mjini) kati ya hao wawili.Hawakupata mwafaka,kimsingi wamekubaliana kuwa wote ni...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wana JF hivi karibuni kamati za Bunge zilikuwa zikipitia hesabu za mashirika na idara mbalimbali za serikali ila jambo la kushangaza ni kwamba kila Kamati ilipokuwa ikienda kesho yake nilishuhudia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom