Dr slaa: When is thanks giving tour going to take off???

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Ushindi kilioupata chama cha Democrasia na maendeleo na mgombea wake wa Urais
katika uchaguzi mkuu wa Mwaka Jana sio jambo dogo kwao na kwa wananchi pia.

Hivyo ninaomba kujua ni lini DR ataanza safari kuzunguka nchi nzima kuwashukuru
wananchi kwa support waliyompa.

Ni vyema akatumia nafasi hiyo kufafanua vizuri swala la bei za vifaa vya ujenzi, elimu
bure na huduma za afya bure na katiba mpya.

Ninatoa omba hili nikitambua bila shaka kwamba yeye ndio aliyeshinda katika nafasi
ya urais.
 
Walishafanya hiyo shughuli kiaina. Hukumbuki baada ya kuapishwa walipiga mikutano kibao mpaka magamba wakalalamika kuwa muda wa kampeni umekwisha!!! Hawatakiwi kwenda huko na kusema asante kama vile watoto wamepewa pipi............... wanachokifanya ni kuwaonyesha wananchi kuwa wapo pamoja na mapambano bado yanaendelea pamoja na kuibiwa uchaguzi!!
 
Ushindi kilioupata chama cha Democrasia na maendeleo na mgombea wake wa Urais
katika uchaguzi mkuu wa Mwaka Jana sio jambo dogo kwao na kwa wananchi pia.

Hivyo ninaomba kujua ni lini DR ataanza safari kuzunguka nchi nzima kuwashukuru
wananchi kwa support waliyompa.

Ni vyema akatumia nafasi hiyo kufafanua vizuri swala la bei za vifaa vya ujenzi, elimu
bure na huduma za afya bure na katiba mpya.

Ninatoa omba hili nikitambua bila shaka kwamba yeye ndio aliyeshinda katika nafasi
ya urais.

CCM awataki kusikia habari hiyo kwa kisingizio cha kupandikiza chuki kwa wananchi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom