RUMANYIKA
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 315
- 74
Kumekuwepo mgogoro baina ya uongozi wa chadema wilaya ya kahama mkoani shinyanga kati ya madiwani wenyewe kwa wenyewe na uongozi wa wilaya cdm kutoelewana. Hali hiyo imepelekea kuwa changanya wapenzi na mashabiki wa chama cha cdm kutoelewa wapi chama hicho kinapokwenda kwa sasa. Kumekuwepo hali ya kutoelewana kati ya madiwani cdm na kuandaa mikutano ya hadhara na kushutumiana wenyewe kwa wenyewe hali inayopelekea kurudisha maendeleo ya kupambana na ukuaji wa chama wilayani hapa. Ombi langu kwa viongoz wa cdm mkoa na taifa kuingilia mgawanyiko huo na kutatua mapema. Kwani hali hii imekua inajitokeza katika wilaya kadhaa kwa mpango mpya unaoratibiwa na baadhi ya makada wa ccm kupenyeza mihela ya kupandikiza migogoro. Baadhi wa wilaya zinazokabiliwa na migogo ya kiuongozi ni pamoja na kahama,kilombero,mwanza na singida.,