Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanafunzi UDSM wagoma kupinga wenzao kuwekwa ndani. Hakika tuna OMBWE kubwa la uongozi. Tunahitaji mabadiliko haraka kuepusha madhara makubwa zaidi kwa siku za usoni. Iweje kila siku tatizo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hotuba ya kambi ya upinzani kuhusu mabadiliko ya katiba iliyowasilishwa na TUNDU LISSU imejaa uchochezi wenye nia ya kuvunja muungano. Naomba kunukuu. "Kuendelea kupuuza mapendekezo haya wakati...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
waziri wa katiba na sheria amesema hakuna utafiti wowote uliokwisha fanywa hapa nchi kuonyesha ni idadi gani ya watanzania wanaifahamu katiba.Je ! kama hakuna utafiti wowote,tunawezaje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bunge la 10,Mkutano wa 5,Kikao cha 6 Mpaka bunge linahairishwa mi sijaelewa nini kinaendelea Bungeni Hivi ni kweli hawa wabunge wamejipa japo muda kidogo wa kukisoma walichokiongea? Maana kila...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Lebanese politicians come to blows over Syria live on TV - Yahoo! This will soon happen to Tanzanian politicians.
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Updates; Kama nilivyoahidi kuweka mahojiano baina ya Sunrise Radio na G. Lema hatimaye kwa msaada wa wadau mbali mbali nimefanikiwa kuweka mahojiano hayo; Baada ya kuibuka mkanyiko huo nilifanya...
5 Reactions
88 Replies
12K Views
nimekuwa nafuatilia mjadala usio na maslahi na taifa unaendeshwa na wabunge wa CCM kwa interest ya chama chao, kwa kuutambua mchango wako ktk harakati za kupigania haki,tunahitaji kufahamu kitu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna mbunge mmoja sikumbuki vizuri jina lake nadhani anaitwa Christina ametoa mchango wake kuhusu katiba kwa kusema waziwazi kwamba muswada uliowasilishwa na serikali ni mpya na umesomwa...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Machozi yamenibubujika nilipoona kwenye taarifa ya habari ya ITV saa mbili kwa askari wa FFU waliokuwa chuo kikuu wakimburura kijana ambaye wa kiume alikuwa anabubujikwa damu kichwani sijui kama...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
nasikiliza kipindi cha morning magic kupitia magic FM, namuona huyu doc anaongea utadhani ametumwa vile, analaani kitendo cha chadema kutoka nje, anasema kitendo hicho kina kiuka maadili ya...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Celina anatetemeka hadi nondo zote alizoziandaa hazisomeki! Hebu angalia mwenyewe
1 Reactions
105 Replies
12K Views
  • Closed
....Zikiwa zimebakia siku mbili bunge kuharishwa hakuna dalili wala taarifa za lini taarifa ya kuchunguza sakata la Jairo aliyekuwa katibu wa wizara ya nishati na madini itawekwa mezani kwa ajili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika kile kinachoonyesha kuwa Zanzibar wanajazma za kiarabu, mbunge wa kwanza kuchangia hoja ya Katiba jioni hii amemtaka makamu wa pili wa Raisi Zanzibar arejeshe kifuta machozi kilichotolewa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wanaharakati leo BBC watakuwa na mjadala wa katiba ya Tanzania jioni.. Hebu jaribuni kubeba japo headphone zenu kama wakichukua umeme wao tusikose neno la faraja toka kwa...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Nimefurahi sana kusikia kuwa Viongozi wa Juu wa Chadema wameitisha Kikao Cha kamati kuu kujadili Masuala nyeti baada ya Wabunge wake wote kutoka ndani ya Bunge kususia Kusomwa kwa Mara ya pili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Kwanini uhangaike na fotokopi wakati urijino ipo? - Mrisho Kikwete 2. Ukitaka kula lazima na wewe uliwe- Kikwete. 3. Ugonjwa huu umekaa pahala pabaya. - Ali Hassan Mwinyi. 4. Ukila...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Kwa muda mrefu kila nikifuatilia vipindi vya bunge inatokea nakutana na wabunge wa CCM wakiponda hoja za wabunge wa upinzani, kwa mtazamo wangu kuponda hoja ya mtu mwingine si tatizo ila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninapendekeza katika Katiba mpya suala la Mbunge kuwa kwenye uongozi kwa vipindi zaidi ya viwili lisipewe nafasi. Mbunge ahudumie wananchi wake kwa vipindi viwili tu vya miaka mitano mitano. Na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Napinga kabisa suala la kupongeza wanawake wanapopata fursa za juu. Tuwapongeze wanapodeliver quality service kwa umma mpana wakishashika nafasi hizo. Nasema hivyo kwa sababu ya kinachotokea...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba msaada jamani.Nina changanyikiwa kuhusu utata uliopo sasa kuhusu Katiba.Kubwa lilopo mbele yetu ni Bili ya utaratibu wa kubadili katiba na sio kuandika katiba.Kinachonikera ni kuwa wadau...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…