Wanafunzi UDSM wagoma tena

potokaz

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
530
486
Wanafunzi UDSM wagoma kupinga wenzao kuwekwa ndani.

Hakika tuna OMBWE kubwa la uongozi.

Tunahitaji mabadiliko haraka kuepusha madhara makubwa zaidi kwa siku za usoni.

Iweje kila siku tatizo liwe ni MIKOPO?.
 
sijui 2015 watatumia approach ipi kuhakikisha hawapigi kura kama walivyofanya 2010
 
Ikiwa mnadhamiria kweli ukombozi wa Nchi huanzia vyuo vya elimu ya juu, ila siku hizi ni mashaka... woga unatangulizwa mbele. Walioko rumande ni mashujaa, kwani wamejitoa mhanga kwaajili ya haki ya wengi. Sijui waliobaki kama wanatambua vizuri hilo.
 
Mbona nasikia wamerudishwa leo bila masharti?. Hii thread ulipaswa kuikamilisha kuwa walikuwa wamegoma tena kushinikiza kuachiwa kwa wenzao bila masharti. Na ndicho kilichotokea, wote 41 wameachiwa huru..,na ninadhani kesho wanaingia class kama kawaida. Alamsik
 
Wanafunzi UDSM wagoma kupinga wenzao kuwekwa ndani.

Hakika tuna OMBWE kubwa la uongozi.

Tunahitaji mabadiliko haraka kuepusha madhara makubwa zaidi kwa siku za usoni.

Iweje kila siku tatizo liwe ni MIKOPO?.


Mh!!! Post zingine!!! Umeweka kama unakimbizwa. Wamegoma saa ngapi nawe umeweka usiku? Ungesema wamepanga kugoma.
Pia umesema mwenyewe kuwa wanagoma kwa sababu ya kupinga wenzao kuwekwa ndani. Mbona conclusion yako haifanani na sababu uliyoeleza. Kama na wewe ni mwanafunzi hapo chuoni, Chunga sana maana kama kwenye mitihani huwa unaaeleza mengine na kutoa hitimisho nyingine, hutamaliza.
 
Back
Top Bottom