Leo asubuhi kulikuwa na mapengo makuba sana ya uwakilishi bungeni, hasa upande wa ccm,
ila jioni hii bunge limesheheni karibia viti vyote, na hii si eccidentally but wameitwa ili kupitisha mswada...
Ndg WanaJF,
Itakumbukwa kuwa mikoa ya Mwanza, Mbeya, Arusha, Dar – es – Salaam n.k ilikuwa ikiwakilishwa na wabunge toka CCM bila shaka kabla ya uchaguzi wa 2010. Mara baada ya...
Napenda kutoa angalizo wa WABUNGE WOTE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kuwa swala la katiba ni swala la wananchi wote si wabunge wa ccm, chadema,cuf,tlp, nccr wl chama chochote hivyo...
Kwakuwa Katiba ni mali ya Wananchi na sasa kuna mvutano kati ya Wabunge Wa CCM/CUF na Wale wa Kambi halisi ya Wapinzani CHADEMA /NCCR ni bora kambi ya Upinzani wakaandaa iandae Mswaada...
Wana JF nimefuatilia Bunge linaloendelea huko DOM toka mjadala wa katiba ulipoanza, inaonyesha kama hawa Wabunge wa CCm wanatumwa kuzungumza maana kila anayesimama kuchangia, hatoi points zaidi ya...
Mh Chenge na Angela Kariuki ni wabunge pekee waliochangia hoja ya uundwaji wa kamati ya katiba! Waliowengi ni ujuha na ujinga.
Ukitaka kuchukia, kufurahi na kusikitika angalia bunge la Tanzania
Inafahamika kuwa CCM imekuwa ikitumia fedha kama kishawishi cha kupitishwa kwa mambo yake mbali mbali ikiwemo chaguzi zake za ndani, uchaguzi mkuu n.k. Aidha zimekuwepo tuhuma za muda mrefu kuwa...
Ndugu wadau nimekuwa nikifuatilia Bunge kwa umakini sana na Kuona Chama cha demokrasia na Maendelea CDM wakitoka nje kwa kukataa kuendelea kujadili muswada wa Mapendekezo ya Katiba mya kwa kutaka...
Naweza kusema kuwa yawezekana wanaharakati wa Tanzania hawajawai kutuonyesha wazi uwepo wao kipindi kirefu, labda kwasababu kulikuwa hakuna kitu cha kuonyesha uwepo wao...
Hili la katiba...
Jukwaa la Katiba latangaza uamuzi mgumu
Jijini Dar es Salaam, Jukwaa la Katiba limetangaza maandamano makubwa yasiyokoma nchi nzima, kama hatua ya kupinga hatua hiyo ya serikali baada ya...
Siku hizi nawasikiliza wabunge wa chama tawala kila wanalosema naona wanakosea hivi wanafanya makusudi au wanafanya nini? Jana namsikia aliyekuwa mwanasheria mkuu anawabeza chadema eti kuwa...
mamilioni ya watanzania yaendelea kupotea kuwalipa wabunge ambao wanapoteza muda kujadili watu/chama kinachowatoa jasho badala ya kujadili maswala ya msingi ya kitaifa eg muswada wa katiba. Tuwe...
WanaJF
Nisaidieni jamani.
Kwani kama Mswada wa Kuanzisha Mchakato wa Katiba Mpya ungesomwa kwa mara ya Kwanza, CCM na Serikali yake wangepungikiwa na nini? Ninahisi Serikali haishauriwi...
Nawaomba wananchama wa CCM wabadilike na waache kujenga na kuwatukuza watu kama Miungu wanaoweza kufikiri na kuamua mambo ya nchi kwa naiba yetu wakati wote.
Imekuwa ni desturi ya wana CCM kila...
Nimekua nikijiuliza kuhusu mwenyekiti wa chama cha wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba na tabia yake ya kuwakacha watanzania wakati wa matatizo kama haya tuliyonayo sasa na badala yake kujitokeza...
ule mpango wa kuwa na serikali moja ya dunia umeanza na viashiria vyake
ni hivi hapa chini angalia jinsi watu wanavyofanya mambo.
What Were the Important Dates in the New World Order Timeline?J...
16 NOVEMBER 2011
*Wabunge walia na Lissu, wahoji usomi wake
*Waionya serikali kutochukua hatua mapema
*Mnyika: Kikao cha Kamati Kuu kukutana kesho
Na Godfrey Ismaely, Dodoma
SIKU moja baada...
Wadau,
Kujisomea ni mojawapo ya juhudi binafsi za binadamu kujiongezea maarifa. Napenda kuwaasa viongozi wa serikali na chama tawala kujitahidi kukumbuka kuwa katika kumuenzi hayati baba wa...
Uwaungwana,matajiri nchini marekani "patriotic millionaires"wanapendekeza wakatwe kodi zaidi ili nchi, wao na wananchi wasio na uwezo waishi vizuri. je kwetu haliwezekani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.