Nchi hii TANZANIA kuiongoza ni kazi

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564
i
  • huku wanadai katiba mpya
  • maandalizi ya kula bata kwa kisingizio cha miaka 50 ya uhuru
  • Z'bar wanapanga maandamo ijumma hii hawaupendi kabisa muungano wetu
  • CDM hawaingii bungeni wanasambaza sumu mbaya nje ya bunge juu ya katiba
  • Wanaharakati wameegesha mtego wa kuandamana nchi nzima kupinga namna ya kuitafuta katiba ya ukweli
  • Wabunge wamehama hoja wanajadili chama na mbunge badala ya hoja ya katiba
  • Majembe imara yamelazwa INDIA ambayo yangesaidia kupunguza ghasia hizi japo kwa ushauri tu
  • machinga nao hawaambiliki hata wakipigwa mabomu kiasi gani na wanasababisha gharama zisizo za lazima kuwatuliza
  • wanafunzi wana dai mikopo/fedha kana kwamba hawajui yanayo ikabili hii nchi kwa wakati mmoja
Yote haya ni ndani ya week 2 tu
 
Back
Top Bottom