Jk kwa kuwa umeboronga kwenye uchumi, heshima imebaki kwenye katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk kwa kuwa umeboronga kwenye uchumi, heshima imebaki kwenye katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mdomo Mwepesi, Nov 18, 2011.

 1. M

  Mdomo Mwepesi Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni dhahiri kabisa kuwa ameshindwa kuinua uchumi wa nchi na badala yake ameendelea kuudidimiza. Katika hali hiyo hakuna kitu chochote cha maana atakachokumbukwa na Watanzania na hata kizazi kijacho. Nafasi aliyobaki nayo ni kuongoza mchakato wa kupatikana kwa katiba INAYOKIDHI MATAKWA YA WATANZANIA na siyo kundi fulani. Hayo ndiyo yatakuwa mafanikio yake kwa kipindi chake cha miaka 10 ya urais na si vinginevyo. Na ataweza kukumbukwa na kuheshimiwa kwa hilo tu.
   
Loading...