Sitaisahau serikali ya ccm hata itapotoka madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitaisahau serikali ya ccm hata itapotoka madarakani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Man Opposite, Nov 18, 2011.

 1. M

  Man Opposite Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imenishangaza sana serikali ya namna hii, yani inashindwa kuwapa wanafunz loan wasome eti wanasema kwamba serikali haina hela!!!, af wanapat hela za kuwalipa DOWANS na RICHMOND!!!!!!!!! Hiv kweli serikali hiii iliyo na rasilimali nyingi namna hii inashindwa kuwasomesha wanafunzi?????? Wameniharibia future hawa CCM, wamezima dreamz zangu......Nawaombea kila aina ya baya liwakute.
   
 2. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndo ucwachague tena mwaka 2015,umejifunza eeh?
   
 3. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Angalia lisije likawa dua la kuku!
   
Loading...