A New Collection of Nyerere's Work to be Published Next Week ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A New Collection of Nyerere's Work to be Published Next Week !

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Nov 10, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  [​IMG]Twelve years after his death Mwalimu Julius Kambarage Nyerere will be immortalized once again after a new collection of his speeches and other literal works will be published by the foundation bearing his name. On November 16[SUP]th[/SUP], 2011 the Mwalimu Nyerere Foundation will release three collections of Nyerere’s works at a gala which will be followed by a public symposium.

  The new collection of Nyerere’s works cover the years between 1974 and 1999. The three books will be available at the foundation and at the Oxford Printing Press in Dar-es-Salaam. Other arrangements are being made to have the books available at various bookstores and libraries around the country.

  This new collection contains over 120 speeches that the Founding Father Mwalimu Nyerere gave on various national and international issues which were very dear to his heart as a political philosopher, Africa’s senior Statesman, and a humanist of a distinguished caliber. There are three volumes of the new collection which are titled Freedom and Liberation (Uhuru na Ukombozi wa Africa), Freedom, Non-Alignment and South-South Cooperation (Uhuru, Kutofungamana na Ushirikiano wa Nchi za Kusini), and Freedom and A New World Economic Order (Uhuru na Mfumo Mpya wa Uchumi Duniani).

  READ MORE HERE AT FIKRAPEVU.COM
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ngoja tuone tulinganishe na mawazo ya Mohamed Said..
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  inawezekana ikawa tofauti na mawazo ya "wazee wangu wa gerezani"
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ni kazi mpya kabisa haihusiani na historia ya "wazee" ni kazi ya kisomi zaidi na academic kwa watu ambao wanapenda kujihusisha na kufikirishwa.
   
 5. s

  sanjo JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Acha tuisubiri release ya Mwalimu.
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Afadhali wazee wangu kina shivji, butiku na salim nao wameandika historia kutokana na masimulizi ya mzee wao nyerere.
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  FF hajaiona hii aje kukashfu?
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Barubaru,FF,Mohamed said nawasubiri kwa hamu kubwa.
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu Mwanakijiji.

  Hii si kazi kisomi bali ni kazi ya kukusanya tu hotba zake alizozitoa katika shughuli zake mbalimbali na kuziweka katika ktabu kimoja.

  Cha msingi hapa kama kuna mtu atajitokeza na kuandika historia yake nzima kutokea utotoni mpaka harakati za Uhuru wa Tanganyika mpaka kufa kwake. Hiyo ikajumuisha tafiti kubwa tokea kwake mwenyewe na wengine mbalimbali aliowahi kufanya nao kazi mbalimbali kwa ukaribu kwani siku zote mtu haoni mapungufu yake.

  Hicho kitabu ndicho alishindwa kuandika mwenyewe na mpaka leo hakuna aliyedhubutu kukiandika. Lakini bado ni baba wa taifa
  .
   
 10. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mimi kama mchumi naweza kuwauliza Pro Nyerere,
  Je ni kitu gani cha kiuchumi mnachoweza kumkumbaka Nyerere katika maendeleo ya Tanganyika?
   
 11. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,240
  Likes Received: 1,172
  Trophy Points: 280
  Asante Mkuu kwa Info.
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Kwenye uchumi ni totally failure na nyanja nyote zingine ni zaidi ya kufeli namkubali katika kuchonga tu, ni "orater" (mpiga porojo) mzuri sana na kujichekeshachekesha hovyooo.
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Tutamchambuwa wacha tuzipate hizo kazi mpya, nna uhakika zitalenga kumpatia "utakatifu" kama mnabisha mtaniambia humu.
   
 14. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Lazima wakumbuke tunapomzungumzia Kagame au Museven au Nkurunziza na kuwasifu si kwa siasa zao bali namna wanavyojaribu kukuza uchumi wa nchi zao kuanzia kwa mtu mmoja mmoja mpaka taifa kijumla.

  Je Nyerere tutamsifu kwa lipi ? Zaidi ya kuasisi Ulanguzi wa bidhaa kitu ambacho kimekuwa na kukomaa na kuzaa Ubadhirifu na ufisadi
  .
   
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Hivi hauoni hata haya? kazi ya kukusanya hotuba ni ya kisomi na academic? Unanchekesha, hata wenzako humu watakuona umbumbumbu wako.
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Soma post #4, umeambiwa haihusiani na historia, ni kazi ya kukusanya kubwabwaja kwake. Unani weyee?
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  I'm anxious waiting kazi za Mk.were kwenye uongozi wake wa Kisanii
   
 18. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hizo zinaitwa propaganda anyway wacha nitakisoma hicho kitabu nione kuna nini? But kama alivyosema barubaru hiyo sio tafiti bali ni taarifa muhimu inayomhusu mtu fulani maarafu kitaalamu inaitwa Eulogy.
   
 19. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..@Red, Post zako zinalenga kutupeleka ktk Udini Udini zaidi. Moja ya Vitu ambavyo Mwalimu alivipinga kwa nguvu zake zoote. Ukiruhusu tujadili kwa Udini basi ukumbuke pia katika Marais waliongooza Nchi hii na kutupeleka Ndiko Siko, basi wale wa Dini yako ndio Waliotufikisha hapa tulipo.
   
 20. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nina data na articles zimeandikwa na wasomi zinaelezea hali ya nchi ilivyokuwa wakati anaondoka Nyerere in short ilikuwa bankrupt na kuna mengi yalikuwa yamejificha na hayasemwi. Anyway mie nachukulia kama ya zamani yashapita tugange yajayo.
   
Loading...