Nini maoni yako Kuhusu Muungano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini maoni yako Kuhusu Muungano?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Izack Mwanahapa, Nov 17, 2011.

 1. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Swala la muungano wa Tanganyika na Zanzibar limekuwa likizua mijadala kila kukicha, hasa inapofikia kwenye mahali ambapo zanzibar na Tanganyika wanatakiwa kushiriki pamoja katika maamuzi makubwa ya nchi kama hili linaloendelea sasa kuhusu Muswada wa katiba. Je kama Mtanzania unayejiamini na kujitegemea kimawazo, nini maoni yako kuhusu muungano huu?
   
 2. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Let Tanzanians themselves decide the fate of muungano, basi.
   
 3. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Siutaki!! nautaka utanganyika wangu uliozikwa kwa biriani bila nyama!
   
 4. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Muungano huu umefika pahala ambapo hauwezi kuokolewa. Lazima ufe tu, hauna dawa tena. Dawa yake alikufa nayo Mwalimu!!
   
 5. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Nadhani kabla ya maoni uengeuliza facts kuhusu muungano. Nini hatma yake Baada ya marekebisho ya Katiba ya Zanzibar mwaka jana!!!!!!!
   
 6. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Unfortunately when I think of the Union I get the following questions: 1. Why did Tanganyika unite with Zanzibar in 1964? 2. Who engineered the union and for whose benefits? 3. What is it's importance to the people of the united republic of Tanzania. 4. What is the feeling of the citizens of this great land on whether to be on union or not?
  Maoni yangu yamejikita kwenye kupata majibu ya maswali yangu....
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kabla hatujafikia muafaka wa uvunjwe au usivunjwe tuelezane 1. SABABU ZA MUUNGANO 2. Faida zake kwa pande zote mbili 3. HASARA ZAKE KWA PANDE ZOTE MBILI 3. KERO ZAKE .
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  PIA TUJUE KWANINI ZANZIBAR WALIREKEBISHA KATIBA YAO BILA KUTUSHIRIKISHA lkn kwenye yakwetu wanashirikishwa??
   
 9. rasmanyara

  rasmanyara Senior Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mie mtanzania naona bora usiwepo kwania pande zote hakuna wanachofaidi
   
 10. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Sioni haja ya Muungano. Sanasana tunaongeza watu wa kusema ndiyooooooooo!!!!!!!!!!!!! bungeni tu. Muungano ufe, tena utokomee kabisa!
   
 11. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Ufe na ufe na ufe Zaidi..Wabunge wengine wa znz kero kubwa na sijui kama Dam zao si za kupima maana zaweza kuwa na Virus vya alqaida na na ndiyo maana wakiongea bungeni Waume zao huangalia na kutikisa vichwa kwani hawajawahi ona hivvyo kwa Wabongo
   
 12. m

  matunge JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Mimi naona Wazanzibar waachwe waamue hatma ya nchi yao. Lakini sote tunatokana( kama wanadamu) na BABA wa BWANA yetu YESU CHRISTO. Wale tunaomwamini YESU kuwa alikufa akazikwa na siku ya tatu akafufuka kwa ajili yetu, tutakutana katika UFALME ujao wa MUNGU na wale wasioamini makao yao ni katika ziwa lile liwakalo moto na kiberiti.
   
 13. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,334
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Ni suala la kujadiliwa kwa undani na umakini. Kwa hali zote Muungano hauna faida kwa wote zaidi ya kuwapumbaza Wazanzibari na kuwadumaza kwa faida ya kundi dogo ndani ya nchi zote 2. Nawaomba Wazanzibari wasifumbwe macho na wabunge wajinga wanaoutetea bila kujali haki za wananchi.Napongeza maandamano ya Wazanzibari wanaoupinga.Huu ufe na kama tunahitaji tuunde mpya wenye mashiko.
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Maoni yangu ni kwamba, kwa nia ya kufanya maamuzi sahihi juu ya muungano huu, ni vema tujadili uhalali wa hii serikali ya ushirikiano wa CCM na CUF zanzibar kwani ndoa hii imevunja na kuingilia misingi ya muungano.
   
 15. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hakuna haja ya kuendelea kuishi na kiinimacho hiki kiitwwacho muungano..... kama tunautaka kwa dhati na kwa pande zote 2 then lazima kila nchi ipoteze identity (kama ilivyokuwa kwa Tanganyika) na autonomy yake (kama ilivyokubali Tanganyika) kuwe na serekali moja tu. Vinginevyo niko tayari kuingia bara barani kuupinga muungano wa kifedhuli usiokuwa na maslahi na unaoipoteza Tanganyika......
   
 16. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #16
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Ufe!ufe!ufe!ufe!ufe na utokomee kuzimu.huo ndio umetuletea wabunge wa kuzomea na kupiga meza.umepumbaza WATANGANYIKA na kuisahau tanganyika yetu kwa kukosa katiba yetu na wawakirishi ktk balaza la mapinduzi zanzibar.ushindwe na ulegeeee.
   
 17. CULCULUS

  CULCULUS Senior Member

  #17
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama hakuna uwezekano wa kuwa na serikali moja basi Muungano ni bora ufe tu. Maana hata USA wameungana zaidi ya mataifa 40 lakini wameweza kuwa na serikali moja. Kwa nini kwa TANZANIA iwe nongwa?? No Single Government, No Muungano
   
 18. t

  themankind Member

  #18
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Maoni yangu,
  1.Huu muungano wa nchi Mbili ni lazima uzalishe serikari moja(Serikari ya jamuhuri ya Muungano ya Tanzania)-ni kiini macho cha hali ya juu kuwa nchi mbili zilizoungana zinazalisha serikali mbili eti ya Muungano na ya Zanzibar,hata mtoto mdogo wa darasa la chekechea anaelewa kuwa ilitakiwa serikali moja tu au ilitakiwa serikali tatu.
  2.Haki ya mtanganyika imemezwa na Muungano huu,ni lazima tuutafute utanganyika wetu(asili yetu) kwa namna yoyote ile,kila binadamu ana asili yake nasi kama watanganyika tunataka asili yetu ya kuwa mtanganyika mtanzania.
  3.Mambo ya muungano yaelezwe kinagaubaga pasipo maficho yoyote yale,Tunaficha nini?
  4.Ikishindikana kabisa ningependa Muungano uvunjwe na kila nchi ibaki na haki zake kama nchi.

  nawasilisha
   
 19. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #19
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Kuwe na serkali Moja ima Muungano uvunjwe!
   
 20. Tigga Mumba

  Tigga Mumba JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 747
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wavivu hao waende zao
   
Loading...