Kwa mambo ya Kibunge Kenya wametuzidi sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mambo ya Kibunge Kenya wametuzidi sana!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Nov 17, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa wale mnaopata KBC na citizen muwe mnafuatila bunge la kenya mjifunze. Ukiwaangalia wabunge Kenya ni makini sana na wana hoja nzito na wanakuwa wamesoma na kuwa na uelewa wa mambo kabla ya kuzungumza. Asilimia kubwa ya wabunge wana kiwango cha Dr Slaa, Mbowe, Zitto Kabwe, Mnyika, Tundu Lissu, lema nk. Ukifuatilia bunge lao ukilinganisha na upupu wa watu wa cuf na ccm unakuwa sawa na unapima kiwango cha shule ya msingi na chuo kikuu. Wabunge wa ccm na cuf wajifunze maana kizazi hiki cha wasomi kinazidi kukua hawatachaguliwa tena kwa ajili ya blabla.

  Ukiangalia speaker wao alivyo na uwezo utafurahi!
   
 2. d

  dannny Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kila kitu kenya kenya mpaka mnatia kinyaaa kwani kenya ndo kipimo cha watz?
   
 4. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,306
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  They are good for sure. Na ndo jirani zetu pia ndugu zetu.
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kenyans came this far after passing through 2007 post election violences. Perhaps Tanzania also needs to pass similar path before our deaf eared leaders realize that they have been put in power in order to serve the country's interests and not their own greediness.
   
 6. FIDIVIN

  FIDIVIN Senior Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mnajidhalilisha sana tu na kujiona wanyonge siku zote,
  Niliona mjadala Aljazeera PM (Odinga) akionyesha kuitamani TZ lakini sisi kila chetu tunaponda tu isipokuwa yale ya mwenyekiti wetu na chama chetu.
  Pole ndg kama kipimo chako ni kenya
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Wabunge wa kenya wamewazidi wabunge wa CCM peke yake!
  Wabunge wa CHADEMA ni noma, hata hao wa kenya hawawafikii hata kwa chembe. Lema ni kiboko ya wote!
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  naomba mtu mwenye namba ya simu ya Raila Odinga
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hujaelewa somo mkuu acha kulaumu!
   
 10. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kenya wako fit. Anaebisha basi na abishe tu ila ukweli unabaki palepale.
   
 11. f

  firehim Member

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo wabunge wa hapa kwetu hasa hasa CCM hawawezi kusimama wao kama wao bila kupitia mgongo wa chama chao. Wanajenga hoja kwa kuhofia upinzani utaingia madarakani. Hawatofautishi serikali na bunge. kwao serikali ni sawa na bunge Hawajui kazi kulinda matumbo tu
   
 12. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,795
  Likes Received: 2,567
  Trophy Points: 280
  Ukweii ukidhihiri lazima uwongo utajitenga tu! Hamna namna,hii ni kanuni asilia.
   
 13. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  "darkness cannot remove darkness but light can do" we can have our own way to get there and not the way used by kenyans we are the giant of eac if we have patriotic leaders and citizens!
   
 14. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,644
  Trophy Points: 280
  WEWE SIO MTANZANIA NAKAMA NIMTANZANIA NINAMASHAKA NAUTANZANIA WAKO UNLES UTAFUTA UWO UPUPU WAKO HAPO JUU. WEWE UNAONA HUYU MAMA ANAENDESHA BUNGE KWA HAKI? Kama jibu ndio Y we are here? BINAFSI NASIKITIKA SANA NA KWA HAKIKA MUNGU HATOACHA MLIPA HUYU MAMA HAPA HAPA DUNIAN KWAYOTE ANAWATENDEA WAPINZANI KTK KUDAH HAKI NA USAWA WA WATANZANIA.
   
 15. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kuiga au kusifia yaliyo mema na bora kutoka kwa jirani yako si dhambi!
   
Loading...